Mtoto wangu wa pili kamzidi kaka yake ujasiri, ujanja, uwajibikaji. Hii ni kawaida?

round kick

JF-Expert Member
Feb 3, 2025
667
2,290
Kama ningekuwa sijafanana na hawa watoto ningeenda kupima dna, maana ningehisi nimepigwa

Wote ni wavulana, wa kwanza tupo la saba huyu mwengine yupo la sita

Kuna muda mpaka watu wanachanganya wanahisi mdogo ndio mkubwa na mkubwa ndio mdogo.

Pamoja na urafiki wao mkubwa na kulala chumba kimoja bado sielewi

Mtoto wa kwanza sio jasiri, ni rahisi kutishika, hajiamini, mwaka huu amewahi kukimbizwa na jogoo kwa uoga.
Mdogo wake ni jasiri, nishawai kuitwa kesi katoa kichapo kwa mtu aliemzidi madarasa mawili, wazazi wa pande mbili tulibaki kushangaana tu.

Mtoto wa kwanza hajiongezi, ni wa kusubiria kuambiwa fanya hiki au asubirie afanyiwe, huyu wa pili vitu vingi anajiongeza ni rahisi kufundishika.

Mtoto wa kwanza ana uwajibikaji mdogo, mtoto wa pili yupo responsible sana na ni mtunzaji mzuri wa vitu, mfano niliwahi kununua flash zaidi ya mbili nikampa huyo mtoto mkubwa zikapotea, siku hizi hilo jukumu nimempa mdogo wake

Mtoto wa kwanza anapenda kuangalia Tv, kucheza games, kuangalia mziki, mambo ya kidijitali, Huyu wa pili anapenda kucheza mpira, anapenda ku hang out nje na marafiki majirani, shuleni kwao wamenitumia barua kuniomba nimwandae kwajili ya sikukuu ya vipaji

Sehemu ambayo mtoto wa kwanza tupo vizuri labda ni darasani, ni kipanga kitupu, nafasi zake ni 1 au 2, huyu mdogo wake ni nafasi za 10 hadi 15, wanasoma shule moja, madarasa yao huwa na wanafunzi 40 hadi 50
 
Kila mtoto ana njia, tabia zake hazifanani na mwingine,

Kikubwa mfundishe kujitambua kama mtoto wa kiume, awe jasiri, mbabe kiasi itamsaidia hasa kwenye Dunia hii yenye ufirauni wengi watatumia udhaifu wake kumlaghai...

Mchanganye na wenzie wa kiume atabadilika japo hawawez kuwa sawa lakini atapata kitu
 
malezi ni suala zito sana
 
Kama ningekuwa sijafanana na hawa watoto ningeenda kupima dna, maana ningehisi nimepigwa

Wote ni wavulana, wa kwanza tupo la saba huyu mwengine yupo la sita

Kuna muda mpaka watu wanachanganya wanahisi mdogo ndio mkubwa na mkubwa ndio mdogo.

Pamoja na urafiki wao mkubwa na kulala chumba kimoja bado sielewi

Mtoto wa kwanza sio jasiri, ni rahisi kutishika, hajiamini, mwaka huu amewahi kukimbizwa na jogoo kwa uoga.
Mdogo wake ni jasiri, nishawai kuitwa kesi katoa kichapo kwa mtu aliemzidi madarasa mawili, wazazi wa pande mbili tulibaki kushangaana tu.

Mtoto wa kwanza hajiongezi, ni wa kusubiria kuambiwa fanya hiki au asubirie afanyiwe, huyu wa pili vitu vingi anajiongeza ni rahisi kufundishika.

Mtoto wa kwanza ana uwajibikaji mdogo, mtoto wa pili yupo responsible sana na ni mtunzaji mzuri wa vitu, mfano niliwahi kununua flash zaidi ya mbili nikampa huyo mtoto mkubwa zikapotea, siku hizi hilo jukumu nimempa mdogo wake

Mtoto wa kwanza anapenda kuangalia Tv, kucheza games, kuangalia mziki, mambo ya kidijitali, Huyu wa pili anapenda kucheza mpira, anapenda ku hang out nje na marafiki majirani, shuleni kwao wamenitumia barua kuniomba nimwandae kwajili ya sikukuu ya vipaji

Sehemu ambayo mtoto wa kwanza tupo vizuri labda ni darasani, ni kipanga kitupu, nafasi zake ni 1 au 2, huyu mdogo wake ni nafasi za 10 hadi 15, wanasoma shule moja, madarasa yao huwa na wanafunzi 40 hadi 50
huo ni udhaifu wako katika malezi,ni wajibu wako kuwashepu watoto wako wafuate njia unayoitaka
 
Waziri peleka VETA hawa watu naona kama walivyosomea hakuna kinacho fanyika.

Unajua uzao unaweza kutoa watu tofauti wakawa urithi ambao ndani ya ukoo wenu au wa mke alikuwa huyo mtu.
 
Kama ningekuwa sijafanana na hawa watoto ningeenda kupima dna, maana ningehisi nimepigwa

Wote ni wavulana, wa kwanza tupo la saba huyu mwengine yupo la sita

Kuna muda mpaka watu wanachanganya wanahisi mdogo ndio mkubwa na mkubwa ndio mdogo.

Pamoja na urafiki wao mkubwa na kulala chumba kimoja bado sielewi

Mtoto wa kwanza sio jasiri, ni rahisi kutishika, hajiamini, mwaka huu amewahi kukimbizwa na jogoo kwa uoga.
Mdogo wake ni jasiri, nishawai kuitwa kesi katoa kichapo kwa mtu aliemzidi madarasa mawili, wazazi wa pande mbili tulibaki kushangaana tu.

Mtoto wa kwanza hajiongezi, ni wa kusubiria kuambiwa fanya hiki au asubirie afanyiwe, huyu wa pili vitu vingi anajiongeza ni rahisi kufundishika.

Mtoto wa kwanza ana uwajibikaji mdogo, mtoto wa pili yupo responsible sana na ni mtunzaji mzuri wa vitu, mfano niliwahi kununua flash zaidi ya mbili nikampa huyo mtoto mkubwa zikapotea, siku hizi hilo jukumu nimempa mdogo wake

Mtoto wa kwanza anapenda kuangalia Tv, kucheza games, kuangalia mziki, mambo ya kidijitali, Huyu wa pili anapenda kucheza mpira, anapenda ku hang out nje na marafiki majirani, shuleni kwao wamenitumia barua kuniomba nimwandae kwajili ya sikukuu ya vipaji

Sehemu ambayo mtoto wa kwanza tupo vizuri labda ni darasani, ni kipanga kitupu, nafasi zake ni 1 au 2, huyu mdogo wake ni nafasi za 10 hadi 15, wanasoma shule moja, madarasa yao huwa na wanafunzi 40 hadi 50
Huwa inatokea, some wanachukua muda hizo tabia kuonekana wengine mapema.
Lakin bottom line kila mtu anazaliwa na character yake
 
Line ya mwisho ya andiko lako ndio limebeba utofauti mkubwa kati ya hao wanao wawili, dogo wa pili ni debe tupu hivyo lzm liwe na purukushani za hapa na pale😂

Inshort watoto wengi wenye akili waga sio watundu watundu. Pia kama mzazi inabidi utambue Kila kiumbe ktk Dunia hii kimeumbwa kwa upekee wake hivyo ni muhimu kuheshimu na kutambua Kila hatua ya mtu.
 
Back
Top Bottom