Mtoto wa msanii 50 Cent kutoka nchini Marekani hataki kufanya kazi

ukwaju_wa_ kitambo

Senior Member
Sep 15, 2024
148
167
MSANII 50 CENT
1726717022765.jpg
"Mwanangu, Marquise Jackson ana umri wa miaka 25 na bado anaomba msaada wa mtoto. Bado nampa $6800 kila mwezi lakini anasema hazitoshi." 50 Cent

"Mafanikio yalinigharimu uhusiano wangu na mwanangu wa kwanza, Marquise. Lakini hana akili, akiwa na umri wa miaka 25, haoni aibu kuomba msaada. Ninampa takribani $81k tu kwa mwaka kwa sababu hataki kufanya kazi.

"Marquise anahisi mtoto wa 50 Cent, hatakiwi kufanya kazi. Nilitaka nimpe kazi ambayo itakuwa inampa angalau $1-milioni kwa mwezi lakini alikataa."-- 50 Cent..

Ukwaju wa kitambo
0767 542 202
 
Aache kumpa hizo hela aone kama hatafanya kazi,
Dogo hawezi kufanya kazi coz amekuta kamserereko na kila mwezi anapewa hela,

50 cent katika safari yake ya kutaka kutoka kimaisha, mwaka 2000 alipigwa 9 gunshots at close range ila kasurvive,leo hii dogo anafikiri maisha ni kitu rahisi tu.
 
50 cent katika safari yake ya kutaka kutoka kimaisha, mwaka 2013 alipigwa 9 gunshots at close range ila kasurvive,leo hii dogo anafikiri maisha ni kitu rahisi tu.
Huna akili 50cent kaanza kuhangaika kutoka 2013
 
Dogo ana damu ya kiafrica waafrika wengi hawapendi kazi hapo anasubiri dingi yake afe achukue urithi akahonge
 
MSANII 50 CENT

"Mwanangu, Marquise Jackson ana umri wa miaka 25 na bado anaomba msaada wa mtoto. Bado nampa $6800 kila mwezi lakini anasema hazitoshi." 50 Cent

"Mafanikio yalinigharimu uhusiano wangu na mwanangu wa kwanza, Marquise. Lakini hana akili, akiwa na umri wa miaka 25, haoni aibu kuomba msaada. Ninampa takribani $81k tu kwa mwaka kwa sababu hataki kufanya kazi.

"Marquise anahisi mtoto wa 50 Cent, hatakiwi kufanya kazi. Nilitaka nimpe kazi ambayo itakuwa inampa angalau $1-milioni kwa mwezi lakini alikataa."-- 50 Cent..

Ukwaju wa kitambo

0767 542 202
Hilo toto jinga lonaendeshwa na Mama kumkomoa "FILI SENHE".
 
Aache kumpa hizo hela aone kama hatafanya kazi,
Dogo hawezi kufanya kazi coz amekuta kamserereko na kila mwezi anapewa hela,

50 cent katika safari yake ya kutaka kutoka kimaisha, mwaka 2000 alipigwa 9 gunshots at close range ila kasurvive,leo hii dogo anafikiri maisha ni kitu rahisi tu.

Dogo kaamuakujipa kazi ya kupokea pesa tu na kutumia. Hiyo pesa anapewa ni mishahara ya watu kadhaa wanafanya kazi za kueleweka.

Shida inaanzia hapo kwenye kumpa pesa katika huo umri.
 
MSANII 50 CENT
"Mwanangu, Marquise Jackson ana umri wa miaka 25 na bado anaomba msaada wa mtoto. Bado nampa $6800 kila mwezi lakini anasema hazitoshi." 50 Cent

"Mafanikio yalinigharimu uhusiano wangu na mwanangu wa kwanza, Marquise. Lakini hana akili, akiwa na umri wa miaka 25, haoni aibu kuomba msaada. Ninampa takribani $81k tu kwa mwaka kwa sababu hataki kufanya kazi.

"Marquise anahisi mtoto wa 50 Cent, hatakiwi kufanya kazi. Nilitaka nimpe kazi ambayo itakuwa inampa angalau $1-milioni kwa mwezi lakini alikataa."-- 50 Cent..

Ukwaju wa kitambo
0767 542 202
Samaki ameshakauka, ukilazimisha kumkunja tu anavunjika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom