Pre GE2025 DSM Mtoko wa Pasaka: Chama cha muziki wa injili Tanzania, idara ya wanawake badala ya kumsifu Mungu wanaimba “Mama Samia Kazi iendelee”

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

The Watchman

JF-Expert Member
Nov 7, 2023
1,140
1,944
Usiku wa mtoko wa pasaka matukio mengi yamefanyika kichawa sana :4WeirdJam: tulitegemea iwe sehemu ya kuusifu utukufu wa Mungu kwa kumtoa mwanaye wa pekee aliyetukomba kwa msalaba dhidi ya madhambi yetu lakini unasikia kwaya inamsifu Rais Samia na kuimba apewe mitano tena, hovyoo:AAAA::AAAA:
 
Mtapanuka mioyo yetu Bure. SSH ndio hitajio la watanzania. Maendeleo yaliyofanywa kwa muda mfupi sana watu wanayaona. Maji , umeme, biashara ndogo ndogo, migodini, bodaboda na Kila aina ya biashara kwa watu serious wanafanikiwa.

Ukitaka kuamini angalia watu WA kawaida kabisa wanavyojenga nyumba kama uyoga vijijini na mijini
 
Hayo yote umetaja, ni kipindi gani yalikuwa hakuna?

2025 unazungumzia maji, bodaboda? Haha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom