Sophist
Platinum Member
- Mar 26, 2009
- 4,486
- 3,407
Matibabu India hayakuwa fake, dawa zake kununuliwa ndio zinakuwa fake? tafakari.Kwanini dawa ziwekewe masharti ya kuagizwa India na China?
Tunaweza kuagiza ulaya au Uarubuni ambako kuna viwango vya juu tu
Tunajua India na utapeli, na serikali sasa inawapa mwanya
Kuna sehemu nyingi sana tunaweza ku source dawa Kenya, Egypt , Uropa , middle east na zina viwango vizuri sana
Hili la kuwasukuma MSD kununua Dawa za INDIA ambazo hata mitaani wananchi wanazitilia shaka nadhani lina mkono wa mtu na mikono ya watu!
Matter of time mtakujasikia!