Mwendabure
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 2,138
- 1,043
Ndo tukhome! Na bado.
Teeeeeeh teeeeeh, viwanda kwa ela ya madafu?Tuvumiliane jamani tunatafuta hela ya kujenga viwanda.
Teeeeeeh teeeeeh, viwanda kwa ela ya madafu?Tuvumiliane jamani tunatafuta hela ya kujenga viwanda.
Mkuu huo ndio mwisho wa ccm maana mjenga chama ndiyo mbomoa chamaSafiiiiiiiiii sasa kaamua kuwafuata wale wanyonge ndo mtaji wao awauwe kabisa 2020 wasipate kura
Tatizo hakuna mbadala wa CCM mpaka sasa.
Je unaamini Lowasa anaweka kuing'oa CCM 2020.!
Sasa hivi wamenunaWakati mwingine shida huongeza uwezo wa watu kufikiri. Hii kitu ni nzuri acha mpaka moto uwake ili tuongee lugha moja. Tena mwakani ile kodi ya fao la mwisho itabidi tuirekebishe haiwezekani iwe 5% tu wafanyakazi wanakatwa almost 30% ya kipato chao. Iweje wanasiasa walipe 5% tu? Wabunge wengi walishangilia budget speech mwanza mwisho mpaka Mh. Waziri alipotaja kodi ya mafao yao. Na alijua hawasikilizi ila tu wanapiga makofi ilibidi ato msisitizo kwa kurudia kama mara tatu ndio waheshimiwa meseji ikaingia kuanzia hapo ilibidi Tulia awatulize dawa iingie! Mwakani sidhani tutasikia mbunge andai chanzo kipya cha mapato!
Sasa Mimi Pepsin si nitakufa masikini?
Hizo kodi za Dawa kwa wategemezi wangu si nitazibeba miye?
NHIF wananitambua Mimi,mke na watoto wangu tu? Wadogo zangu na ndugu wengine ni cash!
Mke wangu naye hivyohivyo,kila mtu ana kadi mbilimbili!! Huu si utani na wizi mchanganyiko?
SASA TUNAINGIA TARIMEMkuu huo ndio mwisho wa ccm maana mjenga chama ndiyo mbomoa chama
CCM haitasalimika ifikapo 2020 kwa maana hizi comedy kwa sasa zimepitiliza. Hata wanaCCM wenyewe sasa wameanza kumchukia baba Je.sca.
Tutashinda tu hata bila kura yakoMimi ni mwana ccm na kwa hili ccm wasitegemee kupata kura kabisa uchaguzi ujao na ndio mwanzo wa kuanguka kwa ccm
Kwanini dawa ziwekewe masharti ya kuagizwa India na China?
Tunaweza kuagiza ulaya au Uarubuni ambako kuna viwango vya juu tu
Tunajua India na utapeli, na serikali sasa inawapa mwanya
Kuna sehemu nyingi sana tunaweza ku source dawa Kenya, Egypt , Uropa , middle east na zina viwango vizuri sana
Hili la kuwasukuma MSD kununua Dawa za INDIA ambazo hata mitaani wananchi wanazitilia shaka nadhani lina mkono wa mtu na mikono ya watu!
Matter of time mtakujasikia!
Sasa hivi ccm tu sahau kabisa ushindiTutashinda tu hata bila kura yako
Kwan ilo jeshi si watu nao wanaumwa wanandugu jamaa nk wakienda uko hsptl watakunanayo ayo yanayo tupata ss apa akuna anesalimika uwe police or mjeda magereza n k wote tunaumiaUsa
Usalama wa ccm uko pale pale kwa ndiyo yenye jeshi nk.
Kalala mbele na mlalahoi jamani"Ntalala nao mbele"..
Viwanda vya fitina mmeshakijenga kimoja katika ofisi ya bunge.Tuvumiliane jamani tunatafuta hela ya kujenga viwanda.