Mtandao wa tigo - halichachi

Mrejesho: Leo nimeona option ya halichachi, wamerudisha tena huma hiyo
 
Wapendwa naomba mnijuze, hivi mtandao wa tigo wamefuta ile huduma yao ya "halichachi"?

NImejaribu kubonyeza nyota 148 nyota 00 reli ili nipate hiyo option lakini siioni!!!!
Sasa hivi wanataka watu wajazwe, sasa sijui wanamaana gani, huu mtandao kila siku huwa unanipa maswali mengi na slogan zao
 
Sasa hivi wanataka watu wajazwe, sasa sijui wanamaana gani, huu mtandao kila siku huwa unanipa maswali mengi na slogan zao
Ila leo nimepata option ya "halichachi" jana haikuwepo kabisa. hao ndio TIGO bwana hahahahah
 
Back
Top Bottom