Mtandao wa tigo - halichachi

Wapendwa naomba mnijuze, hivi mtandao wa tigo wamefuta ile huduma yao ya "halichachi"?

NImejaribu kubonyeza nyota 148 nyota 00 reli ili nipate hiyo option lakini siioni!!!!
Naona wameifuta kinyemela mkuu. Walipoianzisha mbwembwe nyiingi.

And then kuna utapeli wao
mwingine.Baada ya kufuta hiyo, kinyemela wanasema Sh.1000 kwa siku unapata MB 350.Hata hivyo ukijiunga wanakupa MB 200 tu. Yaani jamaa utapeli uko kwenye damu kabisa.Halafu TCRA wapo.Aibu sana.
 
Labda wanafidia kodi wanayolipa!!!
 
TIGO HAWANA OFFER ZA MAANA SIKU HIZI
Ona walivyo washenzi, nimeweka vocha ya buku eti nimekatwa mchezo gani sijui shilingi 500/= na hali sijawahi kujiunga na mchezo huo halafu waniambia eti ukitaka kujiondoa nitume neno ONDOA GAME kwenda namba 15025 lakini tayari wamenikata mia tano muda huu, washenzi hawa: %$^&*^%$#@!
 
Back
Top Bottom