marcus rojo
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 1,496
- 5,319
Tuko pamoja nao baada ya kuachana na upuuzi wa bashite.Afadhali mmeanza tena kuisifia clouds
Msgikilie maneno yenu maana hamchelewi kugeukaTuko pamoja nao baada ya kuachana na upuuzi wa bashite.
Napenda kuwapongeza kwa uzalendo wenu wakuahirisha vipindi ili muwe pamoja na familia na watanzania walioondokewa na watoto wao wapendwa, kuna kitu cha kujifunza kutoka kwenu. UTU ni bora kuliko PESA.
Usitake nicheke sehemu ambayo hairuhusiw kuchek mkuu nipo msiban ujueTBC wao wanaweka live mikutano ya ccm tu, utafikiri wanafanya makusudi kumbe ndiyo uwezo wao wa kufikiri umeishia hapo
Hii channel nisha ifuta kwenye king'amuzi changuTBC wao wanaweka live mikutano ya ccm tu, utafikiri wanafanya makusudi kumbe ndiyo uwezo wao wa kufikiri umeishia hapo
fikirieni ndugu zangu kiwango cha faini wanazotupiga barabarani, tena siku hizi imefikia hatua ya kulazimisha makosa au kuvizia kwa madhumuni tu ya kupiga pesa, najiuliza hii pesa tunayotangaziwa inaingia kwa mamilioni inakwenda wapi!??? Tulitegemea ingewekezwa basi kwenye vifaa vya ukaguzi, Kama hilo halitoshi kila mwaka kuna NENDA KWA USALAMA, ambapo tunalipa hela bila ukaguzi wowote kufanyiika, kwa kifupi tunanunua sticker kubandika eti gari imeshakaguliwa!! ilihali hakuna ukaguzi wowote physical and expartly done, leo nashangaa vilio na rambirambi lakini hatujiulizi tumewekeza nini kwenye vyombo vya ukaguzi na usalama Wa vyombo vya barabarani?? Hivyo tusishangae ajali kama hizi zikitokea na haisaidii hata kama tutatawanya ma traffic njia zote, kama vyombo vyenyewe si salama kwa kuwa hakuna perfect road worthiness inspection inayofanyika ni kazi bure, Kama hapa traffic makao makuu hakuna, unategemea nini huko mikoani? Lakini buku 30,000 zinaingia kila uchao. Mungu ibariki Tanzania, walaze wanetu mahala pema peponi.AmenNapenda kuwapongeza kwa uzalendo wenu wakuahirisha vipindi ili muwe pamoja na familia na watanzania walioondokewa na watoto wao wapendwa, kuna kitu cha kujifunza kutoka kwenu. UTU ni bora kuliko PESA.