Msiba wa Wananafunzi: Clouds group kusimamisha vipindi vyake vya TV na redio ili kuomboleza

Ni kweli, inatosha wanachofanya hivi sasa ni kuzidi kuwapa maaumivu wafiwa
 
Hongereni sana Clouds kwa kuwa mfano na kuonyesha uzalendo wa hali ya juu ktk taifa lenu, pengine bila nyinyi watanzania wengi walio ndani na nje ya nchi hii na hata selikali wasingelichukulia tukio hili kwa uzito wa kipekee.
siku zote mti wenye matunda ndio hupopolewa mawe.
 
Hawa Clouds Sio Wajinga, Watakuwa Wanaanzisha Biashara Ya Nyimbo Za Wasanii Kina Mrisho!!!kina Ruge Wako Strategic Sana Kuliko Mnavyofikiri, Hii Ni Fursa Kwao
 
1527c8cf25625f802362ac89410b37f1-275-275.jpeg
 
Back
Top Bottom