Mshuhudie Mwanamke wa shoka, baada ya kuhitimu Chuo Kikuu, alikosa Ajira, akajiongeza kwa kusoma VETA

Kwahivyo usome procurement degree halafu uje kusomea umeme VETA? Kwanini usisomee umeme moja kwa moja VETA ukaishia nta level 3? Na ndoto yako kuingia University ikaishia hapo? Kama ni hivyo hizi procurement na uandishi wa habri ziondoshwe kozi hizi vyuoni?
Degree ambazo zina umuhimu ni
Education
Engineering
Course zote za Afya.
IT na mambo ya computer yote
Marketing and sales
Law
Accountant

Tofauti na hapo usipoteze muda kusoma maana mambo ya procurement au HR hizo sio course zlizobaki zipatikane VETA
 
Kila course ina umuhimu wake, procurement ni muhimu sana ktk Taasisi. Ufisadi mwingi unapitia hapa
 
Kwahivyo usome procurement degree halafu uje kusomea umeme VETA? Kwanini usisomee umeme moja kwa moja VETA ukaishia nta level 3? Na ndoto yako kuingia University ikaishia hapo? Kama ni hivyo hizi procurement na uandishi wa habri ziondoshwe kozi hizi vyuoni?
TAALUMA MPYA TANZANIA
1. Bachelor of Accountancy and Welding?
2. Bachelor of Finance and Motor vehicle Wiring
3. Diploma of Finance and Tyre Check up
4. Certificate of Computer Science and Guta driving
5. Diploma of Accountancy and Oil changing
6. Certificate of Computer Science and Chips Preparation
7. Civil Eng, Hair Dressing & Beauty
 
Hahahaaa.
 
Wanabodi,

Ule mjadala wa wasomi wa Chuo Kikuu, kusoma VETA, unaendelea,

Mshuhudie Mwanamke wa Shoka, Baada ya Kuhitimu Chuo Kikuu, Alikosa Ajira, Akajiongeza kwa Kusoma VETA, Sii Mwingine ni Paulina Chuma, Fundi Chuma!

View: https://youtu.be/hrFHfkk06Wk

Utafiti wangu mdogo, umebaini, hawa wasomi waliokwenda kusoma VETA, ndio wanaofanya vizuri zaidi sokoni, kuliko wasomi plain wa chuo kikuu au mafundi plain wa VETA, kwasababu hawa wana kitu cha ziada!, wanafanya ufundi kisomi zaidi, na wamefanikiwa zaidi kuliko VETA plain!.

Paskali

Hili ndo tatizo kubwa la kuwa chawa. Yaani leo veta ni muhimu kuliko chuo kikuu, Sababu CCM mmesema.
 
Pasco naomba ufanye mahojiano na mtoto wa kiongozi yoyote wa juu hapa nchini ambaye amesoma VETA😌
MISSION IMPOSSIBLE.
Wanabodi,

Ule mjadala wa wasomi wa Chuo Kikuu, kusoma VETA, unaendelea,

Mshuhudie Mwanamke wa Shoka, Baada ya Kuhitimu Chuo Kikuu, Alikosa Ajira, Akajiongeza kwa Kusoma VETA, Sii Mwingine ni Paulina Chuma, Fundi Chuma!

View: https://youtu.be/hrFHfkk06Wk

Utafiti wangu mdogo, umebaini, hawa wasomi waliokwenda kusoma VETA, ndio wanaofanya vizuri zaidi sokoni, kuliko wasomi plain wa chuo kikuu au mafundi plain wa VETA, kwasababu hawa wana kitu cha ziada!, wanafanya ufundi kisomi zaidi, na wamefanikiwa zaidi kuliko VETA plain!.

Paskali
 
Kwenda VETA siyo shida, swali ni VETA inatoa elimu bora kuliko Chuo kikuu? Kama ndiyo watunga sera wanasubiri nini kufuta vyuo vikuu au waboreshe mitaalama? Yaani tuache wafanye design Power plant? Au hydropower plant?
Mimi nilisoma VETA pale walikuwa wanakuja wakufunzi wa chuo kikuu wa fani mbali mbali wanasoma Short course hasa za Refrgeration na wanarudi chuo kikuu. Walikuwa na wazuri kwenye theory lakini tatizo lilikuwa kwenye vitendo. Ingawa na waalimu wa veta nao huwa wanatoka vyuo vikuu au wanakwenda vyuo vikuu kuongeza ujuzi zaidi. Mtu aliye maliza grade one VETA ni mzuri zaidi kwenye utendaji wa kazi mtu aliye toka Chuo kikuu ni mzuri sana kwenye usimamizi na ubunifu. Kwahiyo kila mmoja anaumuhimu wake ktk soko ra ajira ingawa wachina wao wanataka watu ambao ni wazuri zaidi ktk kufanya kazi kuliko usimamizi na Graduate ya mpaka awe mzuri ktk huo usimamizi nilazima na yeye awe amefanya kazi si chini ya miaka mitatu.
 
Wasomi lengwa wa mjadala huu, ni wale wasomi waliosomea fani za white color jobs, ndio wanaopaswa kuja VETA, sio watu wa technical.

Ila pia kuna muajiri ametoa ushuhuda, wasomi wengi wa engeneering level ya chuo kikuu, ni wazuri kwenye theory, kukuchorea engeneering design etc, but when it comes to practical, hakuna kitu!, hawa ma technicians wa VETA, wanawakimbiza balaa!.
P
Nakubaliana nawe Kaka, vijana wengi wahitimu wa fani zote wazuri sana mdomoni mpe kazi sasa utafurahi na roho yako
 
Wanabodi,

Ule mjadala wa wasomi wa Chuo Kikuu, kusoma VETA, unaendelea,

Mshuhudie Mwanamke wa Shoka, Baada ya Kuhitimu Chuo Kikuu, Alikosa Ajira, Akajiongeza kwa Kusoma VETA, Sii Mwingine ni Paulina Chuma, Fundi Chuma!

View: https://youtu.be/hrFHfkk06Wk

Utafiti wangu mdogo, umebaini, hawa wasomi waliokwenda kusoma VETA, ndio wanaofanya vizuri zaidi sokoni, kuliko wasomi plain wa chuo kikuu au mafundi plain wa VETA, kwasababu hawa wana kitu cha ziada!, wanafanya ufundi kisomi zaidi, na wamefanikiwa zaidi kuliko VETA plain!.

Paskali

Hii nchi ya kiseng3 kila kitu kwenda na trending, nawew uliyeleta huu uzi mngz
 
Wanabodi,

Ule mjadala wa wasomi wa Chuo Kikuu, kusoma VETA, unaendelea,

Mshuhudie Mwanamke wa Shoka, Baada ya Kuhitimu Chuo Kikuu, Alikosa Ajira, Akajiongeza kwa Kusoma VETA, Sii Mwingine ni Paulina Chuma, Fundi Chuma!

View: https://youtu.be/hrFHfkk06Wk

Utafiti wangu mdogo, umebaini, hawa wasomi waliokwenda kusoma VETA, ndio wanaofanya vizuri zaidi sokoni, kuliko wasomi plain wa chuo kikuu au mafundi plain wa VETA, kwasababu hawa wana kitu cha ziada!, wanafanya ufundi kisomi zaidi, na wamefanikiwa zaidi kuliko VETA plain!.

Paskali

Kwa hiyo mtu akisona vema na kukosa ajira,Kisha akaenda VETA hugeuka kuwa shujaa?Ajabu sana.
 
Back
Top Bottom