Job K
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 9,314
- 7,149
Lete basi hesabu yako! Unabisha bila kuwa na takwimu? HOVYO KABISA!!Hakuna kitu kama hicho ndugu.
Lete basi hesabu yako! Unabisha bila kuwa na takwimu? HOVYO KABISA!!Hakuna kitu kama hicho ndugu.
Itakuwa vizuri kama ukitueleza kiwango sahihi!Mkuu wa mkoa hajafikisha mshahara wa 4.8 M.
Mkuu wa Kaya Muongo. Analipwa Tsh 32 milioni kwa mwezi. Hiyo ni cash achilia mbali gharama za Ikulu na POSHO za kila safari.
Mshahara wa RC na waziri unalingana na DC na naibu waziri unalingana, na mshahara wa jaji mkuu na spika wa bunge unalingana ila kutokana na majukumu yao watakuwa wanatofautiana marupurupu mengine ya nje ya mshahara.
Nani alikwambia Rais anafanya kazi pekee yake?LETE USHAHIDI?HATA KAMA NI HIZO.HIVI MTU ANAYESIMAMIA USALAMA WA ANNUAL GDP YA 80 TILLION PER YEAR UNAONA KWELI HICHO KIPATAO CHA 32 M NI SAWA ILI KUMFANYA ASITUSAINIE MIKATABA OVYO KWA KUTAKA KUPATA UTAJILI?
maji laki sita kwa mwez wanayatumiaje?Si ela nyingi ni salary ya mil. 4.8, ela ya vocha (mawasiliano) laki tano, ela ya umeme ambayo hupewa cash Laki nne kwa mwezi, ela ya maji hupewa cash laki sita kwa mwezi, makaribisho wageni , mapambo ya ofisi kama mapazia nk mil. .1.2.
Wakuu wa idara halmashauri kwa mfano DT, DPLO, DHRO, DWE, DE, nk Wapo kwenye 3.4m inakaribia 3.5mWakuu wa idara zipi hao?
Kwa hiyo ww mkuu wa idara wizarani lakini mshahara wako haujafika 3.4m?Wewe ndugu yako wamefanya huko wakati Mimi nimefikia ukuu wa idara tena wizarani ndo maana nikakuuliza idara gani? Acheni stori za vijiweni hizo....
Nani alikwambia Rais anafanya kazi pekee yake?
Kila mfanyakazi, mfanyabiashara, Mkulima, anachangia kwenye pato la Taifa.
Kwa hiyo ww mkuu wa idara wizarani lakini mshahara wako haujafika 3.4m?
This is the big money....kwa mwezi total package ni sh million 14 RC,DC Million 8.ila kila baada 5 rc anapewa asante ya million 200, na dc anapewa asante ya million 130.Ndo hayo tu kwa uzoefu wangu wa siku za nyuma ila sijui kwa sasa
Basic yake ni sh ngapi?? Ww mkuu wa idara wizarani nimeanza kukutilia mashaka,Mkuu wa mkoa mshahara wake hauvuki 1.7 M take home.
TGS ya mwisho ni ipi uliyopo wewe ambayo umeshavuka mshahara wa 3.4m ?Mimi nipo TGS scale ya mwisho huo mshahara nishauvuka. Ila mshahara wa madaraka kwa mkurugenzi/mkuu wa idara haujafika 3.4 msidanganyane.
Basic yake ni sh ngapi?? Ww mkuu wa idara wizarani nimeanza kukutilia mashaka,
Mkuu wa mkoa mshahara wake hauvuki 1.7 M take home.
TGS ya mwisho ni ipi uliyopo wewe ambayo umeshavuka mshahara wa 3.4m ?
Kumbe unalipwa kwa scale ya TGS ndo mana unabishabisha kama kihiyo,
Subiri utapoingia kwenye Scale ya LSSE ndo uje kubishana kijana.
Hujui halafu unajifanya unajua.Mkuu wa mkoa mshahara wake hauvuki 1.7 M take home.