Mshahara wa RC (Mkuu wa Mkoa) na marupurupu ni kiasi gani kwa mwezi

kwa mwezi total package ni sh million 14 RC,DC Million 8.ila kila baada 5 rc anapewa asante ya million 200, na dc anapewa asante ya million 130.Ndo hayo tu kwa uzoefu wangu wa siku za nyuma ila sijui kwa sasa

Acha kudanganya watu: mshahara wa Rc take home 3.7m na animalize miaka mitano anapata 70m
 
kwa mwezi total package ni sh million 14 RC,DC Million 8.ila kila baada 5 rc anapewa asante ya million 200, na dc anapewa asante ya million 130.Ndo hayo tu kwa uzoefu wangu wa siku za nyuma ila sijui kwa sasa
Source please?
 
Kumbe wanakula mzigo wa kutosha ndo maana namuona wakili msomi Mr msando akitema cheche
 
Mshahara wa RC na waziri unalingana na DC na naibu waziri unalingana, na mshahara wa jaji mkuu na spika wa bunge unalingana ila kutokana na majukumu yao watakuwa wanatofautiana marupurupu mengine ya nje ya mshahara.
Lile wimbi la ma Dc,RC kukacha na kukimbilia Ubunge unalikumbuka chief
 
Back
Top Bottom