Msanii Diamond Platnumz kulipa kodi ya nyumba ya miezi 3 kwa familia 500 za hali ya chini

Kik za Kipimbi tulishamzoea huyu hata akitoa msahada wa kiberiti kwa jirani atatangaza, kuna watu wanatoa misaada kimya kimya..

Kuna watu wametoa msaada wa janga la Corona, bilioni 2 kwa waziri Mkuu kimya kimya bila matangazo..
Vipi mkuu kwani umeumia?

"corona ipo tuchukue tahadhari"
 
Birdman...... Baba mlezi wa lil Wayne alipost hivi hivi insta juzi........ Naona mzee wa kick naye anakopi na kupesti.........

Anyway.............. Ni vizuri Sana Kama akitoa kweli na familia ziwe randomly selected kweli..... Zisiwe za kupanga yaani ndugu , jamaa na marafiki.

Mwenyezi Mungu amzidishie bwana huyu.
 
Wewe ulitaka afanyeje? au sababu Birdman kafanya yy asifanye?
 
Hii Misaada ya Diamond ni ya Kiganga akitoa misaada ni lazima atangazie uma
Sawa unaumia sababu kafanya Diamond,ila Kiba na Goma lake walifanya walifanya hivyo na bila kusahau msikiti alio ukabizi alifanya mbele ya makamera ina maana naye kafuata masharti ya Mganga.

Soma post yangu vizuri then uangalie na namna ulivyojibu Ni sawa ?????
Birdman...... Baba mlezi wa lil Wayne alipost hivi hivi insta juzi........ Naona mzee wa kick naye anakopi na kupesti.........

au huyo sio wewe.

Wewe ulitaka afanyeje? au sababu Birdman kafanya yy asifanye?
 
Ameahidi kuzilipia Kaya 500 Kodi zao za nyumba kwa miezi mitatu
Na mimi ni mmoja wapo wa hizo kaya? utaratibu gani natakiwa nifanye ili mimi pia niingie.
Lakini kikubwa ni utekelezaji yaani ahadi tu umeshampa promo tayari.
 
Back
Top Bottom