Msanii Diamond Platnumz kulipa kodi ya nyumba ya miezi 3 kwa familia 500 za hali ya chini

Unakosea kuweka uzi halafu unaanza Tena kutaja watu wengine eti unawashauri wafanye vile, hizi Ni pesa sheikh Kila mtu anajua account yake ilivyo.

Kama na wewe umeona no vyema toa hata sanitizer 2 kwa wahitaji maana kutoa Ni moyo.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kijana mwenzetu licha mziki wake mzuri ana moyo mzuri pia.kaya 500 kwa usawa huu ni good idea hii ndo maana halisi ya kutoa ni moyo na kurudisha kwa jamii

Laiti kama matajiri wengine nao wangeiga mfano wa bwana simba,watu kama wakina Gsm,patel,muhamed wa simba,bwana bhakresa 10% population ingepata ahueni ya kodi!!!

Ngoja nika mtag tajiri wangu wa simb sport bwana mohamed angalau awalipie laya buku moja hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom