Msaada: Nitapata wapi Ndulele maeneo ya Dar

Pole sana kwa jino Mkuu,Kwa hapa dar nenda pale Lugalo..KJ kwenye pori pale utazipata nying sana pale na pia hata ukiuliza wakaz wa pale getin watakupa ushirikiano mzuri tu wa kuzipata ndulele,pole sana Mkuu
Shukran aise

Nitapitia lugalo kuzitizama
Asante sana itakuwa msaada mkubwa sana ase
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.

Jamani naombeni mwenye kujua kwa hapa Dar es salaam nitapata wapi Ndulele.

Natumai nitapata jawabu sababu hakuna linaloshindikana.

Ndulele ndulele
Nini kazi ya ndulele mkuu? Maana nimezifyeka shambani kwangu juzi tu. Isije ikawa nimeondoa kitu chenye thamani.
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.

Jamani naombeni mwenye kujua kwa hapa Dar es salaam nitapata wapi Ndulele.

Natumai nitapata jawabu sababu hakuna linaloshindikana.

Ndulele ndulele
kama utazikosa Lugalo jaribu hata mbezi juu njia ya goba kuanzia baraza la mitihani hukosi huko
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.

Jamani naombeni mwenye kujua kwa hapa Dar es salaam nitapata wapi Ndulele.

Natumai nitapata jawabu sababu hakuna linaloshindikana.

Ndulele ndulele
IMG_20170315_114101.jpg
IMG_20170315_111105.jpg
IMG_20170315_111128.jpg
 
~ndulele dawa :-
*mafunza miguuni
*inazaidia meno
*ukiwa nayo mfukoni mchawi hafuruti kwako...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom