Msaada: Natafuta app ya kuzuia simu zote nazopigiwa na kusomeka niko busy muda wote

Me hadi leo sijapata App inayozuia kabisa usipatikane hata anaekupigia asijue kama umekata
Sababu nimetumia truecalller na Call blocker lakini anayekupigia lazima simu yake itaita kidgo ndo badae ataambiwa uko busy means kama umeikata(abort) na yeye atajua umeikata
Kama kuna apps ambayo inazuia bila anayekupigia kujua kama simu imekatwa na mimi nasubiri hapa!

Hii ni settings tu. Ila ambayo nami nimekuwa nikisaja ni ya kublock namba nayotoka sio zote.
 
Tafuta app inayoitwa easly block,hii unaweza uka wablock watu wote pia unaweza kuchagua mtu mmoja mmoja wewe unayetaka kumblock asikusumbue.hii APP ipo vizuri sana na ni rahis sana kutumia.
 
Hapana sio kweli . Hakuna kitu kama hiki.
ffe988d5236bdfc665bec3436c9d2b9e.jpg
 
Kwa Tigo pia waeza tumia *35*0000# kwa kufunga kufungua #35*0000# simu haziingii wala sms lakin ww unapga na kutuma sms akikupgia yy anaambia naomba hii imefungiwa
Mkuu kuna jinsi ya kuifanya iwe selective kwa baadhi ya namba.?
 
Salaam wana jf,
Naomba kufahamu ni Application gani ya simu [smart phone ] inayoweza kuzuia simu zote Ninazopigiwa na mtu yeyote kuonekana kwamba nipo busy muda wote 24/7...kwani napenda kuchat tu na siyo kupigiwa simu labda kama nimependa kuwapigia mwenyewe baada ya kukutana missed calls. ....please naomba msaada huo wa kuzuia simu ....Samahani sana. ...
Simu nyingi hususani smartphone ina settings katika eneo la Calls ambalo huitwa blacklist, kupitia hiyo blacklist setting unaweza ukaactivate na kuadd namba za unaotaka uwazuie. Matokeo yake ni kwamba mtu atakayekupigia ataambiwa simu yako ipo busy au simu itakuwa inajikata automatically kabla haijakuwa connected ije kwenye simu yako, na wewe mwenye simu unaweza kuziona call logs zao zikionyesha kuwa walikutafuta lakini hawakukupata.
 
nje ya usumbufu kwa baadhi ya wapiga simu ambao si muhimu endapo utachukua hatua mujarabu. najaribu kuwaza faida ya hayo yote si nafuu kutomiliki simu kabisa. kusudio lake ni nini? uaminifu kwa wanaoku-dai/tegemea/patia dili za maisha hatima yao ni ipi? madhara ya kutokupatikana kwako yanamwathiri nani zaidi? suala la uimara wa mahusiano/ndoa linalindwaje na mbinu hii! mwenzangu anipigie simu nikiwa kazini nipatikane lakininikifika getini ajibiwe (...... hakikisha namba kisha piga tena)!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom