Msaada: Natafuta app ya kuzuia simu zote nazopigiwa na kusomeka niko busy muda wote

tumia *35*0000# kulock
unlock #35*0000# hii ni kwa mitandao yote kama akikupigia mtu anaetumia tigo simu itamuandikia call ended ila kwa mtu wa voda ataambiwa huduma zimesitishwa kwa muda.
 
Kwa Tigo pia waeza tumia *35*0000# kwa kufunga kufungua #35*0000# simu haziingii wala sms lakin ww unapga na kutuma sms akikupgia yy anaambia naomba hii imefungiwa
 
Kwa Tigo pia waeza tumia *35*0000# kwa kufunga kufungua #35*0000# simu haziingii wala sms lakin ww unapga na kutuma sms akikupgia yy anaambia naomba hii imefungiwa
Lakini pia je kwa watumiaji wa halotel na airtel tunafanyaje ili namba isipatikane pia
 
*21*071122# Hii ni kikomo inafanya kazi mitandao yote ila tusaidiane tu jinsi ya kuitoa ndio sijui ila salute sana kwa hii very simple
 
tumia *35*0000# kulock
unlock #35*0000# hii ni kwa mitandao yote kama akikupigia mtu anaetumia tigo simu itamuandikia call ended ila kwa mtu wa voda ataambiwa huduma zimesitishwa kwa muda.
Kaka hii ni selective au non-selective?
Ni better zaidi ikiwa selective ili uamue mwenyewe namba unayotaka isikupate kuliko kuzuia namba zote
 
Kama unatumia simu yenye 4g command only 4g kwenye mobile network, hapo yyt ataekupigia atajibiwa upo busy i
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom