Unataka heka ngapi ? Kuna 500 zilikuwa zinauzwa ila sijajua kama zimeisha uzwa. Eneo ni madaba. Ilikuwa laki 2 kwa heka.Samahani wadau ninasikia songea Kuna ardhi haijawahi limwa na inauzwa kama Kuna mtu ana uwezo wa kunikonect naomba anisaidie
Ndiyo, unaweza kupata kule Madaba kijiji cha Lutukira kitongoji cha Nakagange. Mimi nimefika Nakagange, changamoto ya Nakagange kwenye ardhi ile ni visiki. Visiki katika ardhi ile ni vingi sana na vya miti migumu. Maji yapo na kunafikika, pia kuna bonde kubwa sana la Mpunga.Samahani wadau ninasikia songea Kuna ardhi haijawahi limwa na inauzwa kama Kuna mtu ana uwezo wa kunikonect naomba anisaidie nipo iringa.
Asante naomba unisaidie contact zakoNdiyo, unaweza kupata kule Madaba kijiji cha Lutukira kitongoji cha Nakagange. Mimi nimefika Nakagange, changamoto ya Nakagange kwenye ardhi ile ni visiki. Visiki katika ardhi ile ni vingi sana na vya miti migumu. Maji yapo na kunafikika, pia kuna bonde kubwa sana la Mpunga.
njoo pm,Asante naomba unisaidie contact zako
Njoo Mtwara-Nanyumbu Misitu ipo mingi sanaaaaSamahani wadau ninasikia songea Kuna ardhi haijawahi limwa na inauzwa kama Kuna mtu ana uwezo wa kunikonect naomba anisaidie nipo iringa.
Niko songea mkuu ni mkulima mdogo lakin mashamba nayaelewa yanakopatkana kwa wing unajchagulia Bei ni lak had lak na nusu, ardh inafaa kwa kilimo Cha mpunga, mahnd, soya, karanga, jugu, Nazi, korosho nk! Npgie 0682475620Samahani wadau ninasikia songea Kuna ardhi haijawahi limwa na inauzwa kama Kuna mtu ana uwezo wa kunikonect naomba anisaidie nipo iringa.
Nipo kazn shamba la mpunga hili,Niko songea mkuu ni mkulima mdogo lakin mashamba nayaelewa yanakopatkana kwa wing unajchagulia Bei ni lak had lak na nusu, ardh inafaa kwa kilimo Cha mpunga, mahnd, soya, karanga, jugu, Nazi, korosho nk! Npgie 0682475620
huwezi ng'oa visiki?Ndiyo, unaweza kupata kule Madaba kijiji cha Lutukira kitongoji cha Nakagange. Mimi nimefika Nakagange, changamoto ya Nakagange kwenye ardhi ile ni visiki. Visiki katika ardhi ile ni vingi sana na vya miti migumu. Maji yapo na kunafikika, pia kuna bonde kubwa sana la Mpunga.
huwezi ng'oa visiki?
Unaweza kung`oa, ila gharama sbb ni miti pori, wenyeji wachache wanalima hivyo hivyohuwezi ng'oa visiki?