mimi naitaji kama lita 5 hivi.unauzaje?
habarini za majukumu,ningependa kujuzwa juu ya soko la asali kwa dar es salaam,asali ni ya nyuki wakubwa kutoka singida na ni asali mbichi.thanx in advance
Uko wapi/mahali kwa mjini dar?
mbona umenyamaza kiongozi umeona bei lakini?
kwa dar napatikana mikocheni Asio kimya, nilitoka kidogo. unapatikana wapi hapa dar?
una maanisha kusafirisha nje ya nchi ama?kama ni nje ya nchi yes bt uwe unapeleka kwa madhumuni ya biashara na mzigo uwe mkubwa kama unapeleka kama one litre kama zawadi no need ya kibaliIvi kusafirisha asali kunaitaji kbali?
Mkuu unauzaje? maana tuko jirani lakini isiwe ile iliyotengenezwa kwa miwa.Hata mim jaman nahitaji soko la asali nipo lindi
Mzalishaji mkuu wa aslai kwa sasa ni Mh Pinda. unaweza kupata ushauri kuotoka kwa kwake lakini pia uchunge hii ni biashara yake kama ni kuuza hapa kidogo hakuna tatizo lakini kama unataka kufanya biashara hi kwa ukubwa wa kimataifa basi bora fanya siri
Kwanini unasema hivi mkuu?