Jile79
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 17,668
- 13,262
Tz kuna asali nyingi sn lkn ajabu unaambiwa watz sio walaji wa asali kabisa. Kwa kiasi kikubwa inasafirishwa nje ya nchi. Nadhani umefika wkt elimu kuhusu umuhimu wa kutumia na namna ya kutumia asali ifanyike.
FUATA NYUKI ULE ASALI AU FUATA NYUKI UPATE MANUNDU!!!!!!?????
FUATA NYUKI ULE ASALI AU FUATA NYUKI UPATE MANUNDU!!!!!!?????