Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,403
- 12,765
Hakuna fantasy way ya kumwambia mtu neno linaloumiza ili kumpa moyo, ushauri wangu kwako ni kumwambia tu unamwacha! Maana dhamira kuu ndiyo hiyo 'kumwacha'
Ahahahaaamwambie aje jf kuna ujumbe wake umemwachia aje asome
hapo ndo mtu mweusi uwa anaonekana ni ajabu kabisa ww mwenyewe umesema kakuvumilia mengi kwa maana hakuna mtu ambae anavumilia raha so amekuvulia katika shida sasa ww ku pay back utaki umeshamuona ni jipu kama unaona ana watu wengi wa kumtegemea si umtafutie kazi? ?
kweli mtu mweusi ni mtu hatari sana duniani ndo Maana mungu katunyima ufahamu coz kama angetupa na wenzetu wangekuwa kama cc nadhani wangekoma kutujua
Leo jitu linapanga mipango ya kumwacha mtu masikini maybe bint wa watu anawaza mpenzi wake arudi nyumbani wapate kula chakula cha jion wote
ili ndo hasara ya mtu mweusi kupenda vitu na si mtu katika mapenzi