Msaada: Huyu manzi nimwambie maneno gani ya kumuacha ili asijisikie vibaya

Umeona eeh mkuu... nipe maujanja we ulifanikiwa vipi??
Nlichofanya nlimuexpose ili apate kushawishika tu na mtu mwingine and coz she is real convincing, ili from there nipate sababu sasa (loneliness will take charge).. the strategy worked perfectly though ilichukua muda coz she really loved me!!!
 
Valentina naona unajitahidi kunishawishi nisimuache mpaka sasa hivi nipo njia panda... Hebu endelea na ushawishi huwenda nikapindua meza
Yani hiyo sababu yako haina uzito kabisa...

Mtu anakupenda na kukuvumilia Mungu akupe nini tena? Gunia la chawa?

Ni kiasi tu cha kumshauri kwamba bby tufanye hivi na hivi ili tuinuke...
Sio kumkimbia utaruka majivu ukanyage moto mkuu
 
Ukimwacha utapata bom la machozi mtaftie kazi wa kukupenda na majukumu yote afanye ni wachache sana bi zeya weitingiiiiiiiii
 
"Mkataa pema pabaya panamwita"
Jitihada ulizonazo ni za kuijaribu methali hii kama ni ya kweli au ya uongo.

Usiache kutuletea mrejesho.
 
Mkuu inaonekana wazi kabsa wewe umeshamtoa moyoni ila yeye ndo anakuganda, so wewe hataushauriwe vp kukomaa nae hutotekeleza, mie naona hvyo vyote vwili ni vya muhimu meaning that (maendeleo na dem mwenye upendo wa dhati) sasa kama wewe umeona ana upendo wa dhati ila maendeleo yako yanadorora basi mbele tembea mweleze ukweli, manake maendeleo ndo cha muhimu kuliko yeye, becoz ukiwa na maendeleo makubwa utampata tu mwengne, thats all mkuu.
 
Asante sana mkuu, maendeleo kwanza papuchi baadae
 
"Mkataa pema pabaya panamwita"
Jitihada ulizonazo ni za kuijaribu methali hii kama ni ya kweli au ya uongo.

Usiache kutuletea mrejesho.

Heri nusu shari kuliko shari kamili
 
Nlichofanya nlimuexpose ili apate kushawishika tu na mtu mwingine and coz she is real convincing, ili from there nipate sababu sasa (loneliness will take charge).. the strategy worked perfectly though ilichukua muda coz she really loved me!!!

Let me try to work on that, I hope Bingo is on my way
 
Dah kweli bahati zinapita mbali, nina mwaka wa 3 tangu nitoke kwa mzee wangu. Vita yangu na mzee ni kwamba nitaoa lini, tatizo nafukuzia mabint lakini sijapata anaenipenda wengi wapo after materials na mimi siko hivo na hata papuchi zao niliwaachia. Ila ishu ni kummpata anaenipenda.

NOTE; Ndugu usimuache huyo binti kama anakupenda kwa dhati.
 
Duuu kila mmoja na akili zake. Wengine wake zao sio tegemezi, lakini cha moto wanakiona. Kiburi, dharau, majivuno vimejaa toooopuu!
Kazi kwako
 
mwambie aje jf kuna ujumbe wake umemwachia aje asome
hapo ndo mtu mweusi uwa anaonekana ni ajabu kabisa ww mwenyewe umesema kakuvumilia mengi kwa maana hakuna mtu ambae anavumilia raha so amekuvulia katika shida sasa ww ku pay back utaki umeshamuona ni jipu kama unaona ana watu wengi wa kumtegemea si umtafutie kazi? ?
kweli mtu mweusi ni mtu hatari sana duniani ndo Maana mungu katunyima ufahamu coz kama angetupa na wenzetu wangekuwa kama cc nadhani wangekoma kutujua
Leo jitu linapanga mipango ya kumwacha mtu masikini maybe bint wa watu anawaza mpenzi wake arudi nyumbani wapate kula chakula cha jion wote

ili ndo hasara ya mtu mweusi kupenda vitu na si mtu katika mapenzi
hakika loh watu weusi sisi noma hatuna jema
 
Back
Top Bottom