mxsdk
JF-Expert Member
- Aug 11, 2014
- 3,585
- 2,049
Nazani walijengeana mazoea flani ya kila MTU anaacha simu ON na kusachi..!mabadaliko ya ghafla yamempa taaruki.sasa simu ndo mapenzi mkuu... anaweza akaacha simu on mwaka mzima na bado akakusaliti tu... unatakiwa ujiamini na uwe m'bunifu...!!!!