Pole Sana Ndugu. Nafikiri Ulijibu Kitu Ambacho Hukijui Na Baada Ya Kukutana Na Majibu Yaloshiba Unakimbia Kwa Namna Yako.Nilijibu kwa ufupi...Inaelekea unaleta mjadala ambao kwa maoni yangu hauna tija...Aide de camp ni aide de camp...ana majukumu yake na walinzi wana majukumu yao....lakini haina maana jambo baya likitokea yeye aangalie tu kwa kuwa eti ni aide de camp ndiyo maana wana sifa nyingine za ziada, wakati mwingine zikiwemo za ukomando na kadhalika...naona niishie hapo, mijadala ya aina hii ni useless, tunaingilia na kuongelea mambo yasiyotuhusu...
Pole Sana Ndugu. Nafikiri Ulijibu Kitu Ambacho Hukijui Na Baada Ya Kukutana Na Majibu Yaloshiba Unakimbia Kwa Namna Yako.
Ulijibu "ADC Hausiki Na Ulinzi)
Mimi Sina Nia Ya Kuleta Mjadala Wewe Ndio Unauleta. Kama Ungekuwa Mwelevu Ungejibu Kifupi Tu Kwmb "Nimeelewa Au Nashukuru" Sasa Shida Yako Ni Kwmb Hutaki Kuonekana Kwmb Umekosea So Unatengeneza Excuse. Kwani Ukikiri Umekose Huwa Unaumia Sana Eeh?!, Basi Pole Ndugu Natumai Umenielewa.
fair play.mmmmmh, kwani tunashindana humu JF? I don't think so, kwanini ning'ang'anie kuwa mimi ndiyo naelewa zaidi au naathirika vipi ikiwa nitakuwa nimekosea? Kama mtu umekosea si unasema tu kuwa umekosea? Kwanini mtu uumie kama umekosea? Nadhani tunatofautiana humu JF...ok nashukuru...thanks, kwa maelezo yako, kazi njema.
Mjomba wee acha tuu hii ndio jfDah haya ni matusi ,huyo jamaa Magufuli yuko physical fit kuliko yeye ? ,kwani mpaka anafikia level ya kuwa ADC vigezo alivyo pitia ni kuvunja biskuti kwa kuloweka kwenye chai ??
Hicho ndio kilichopo yule anafanya ulinzi katika nafas yakeKama Angekuwa Hausili Na Maswala Ya Ulinzi Jibu Haya Maswali.
1. Kwanini ADC Lazima Awe Askari Na Si Raia?!.
2. Kwanini ADC Awe Askari Mwenye Mafunzo Maalumu Na Si Askari Yeyote?!.
3. Kwanini ADC Lazima Atoke JWTZ Na Si Jeshi Lingine Tz?!.
4. Kwanini Ni Lazima Awe Gazetted Officer Na Si Rank&File?!.
Stricker Na Deffender Wanacheza Uwanja Mmoja Lakn Position Tofauti. Licha Ya Kwamba Deffender Kapewa Kazi Ya Ulinzi Na Stricker Kapewa Kazi Ya Kufunga Lakn Bila Kujali Position Zao Uwanjani, Kila Mchezaji Kwa Position Yake Anajukumu La Kulinda Lango Lake/Kufunga Goli Pale Inapobidi Bila Kujali Position Alopangwa Na Kocha.
Nafikiri Umanielewa.
Nakukumbusha. Jukumu La Ulinzi Hata Yeye Analo Kwa Nafasi Yake Akishirikiana Na Walinzi Wengine.
Yah Thats True Mkuu.Hicho ndio kilichopo yule anafanya ulinzi katika nafas yake
Kama Angekuwa Hausili Na Maswala Ya Ulinzi Jibu Haya Maswali.