MOROGORO: Polisi inawashikilia watu 11 kwa tuhuma za ubakaji na udhalilishaji wa mwanamke

Kuna Watu walipinga Sheria ya Mtandao kwa malengo ya kisiasa tu kila jambo wanalitazama kisiasa kama vile nje ya Siasa hakuna maisha mengine. Leo Sheria hii inao ekana umuhimu wake
 
Wewe ujawai kutembea au kumtongoza Mke Wa Mtu
Nilichomaanisha ni kwamba michepuko ipo kwa jinsia zote. Wanaume na wanawake wote wanachepuka. Jamaa amesema wanawake wapunguze michepuko as if wanaume hawachepuki.
Nirudi kwenye swali lako: sitongozi mke wa mtu. Mume wa mtu natongoza!
 
4cb6fa229e9f828e8e806c294b522571.jpg

Usije Kusema sikukwambia

Kwani hii sheria imekaaje? Police na hawa viongozi ndo wenyehaki ya kuona hizo video peke yao!! Nasisi tungependa kujifunza kuwahurumia wenzetu wanaotendewa unyama.
 
Nililuwa napinga shelia ya mtandao kwa hili Leo nimejikuta nashangilia sana
Mtu sio mkeo uchungu umeutoa wapi ?dada wa watu mpaka anaomba msamaa analalamika mnaniumiza jamanii! Bado tu hata huruma amna mkaona aitoshi mlivyotoka kumfanyia tendo la kinyama amjafikilia madhala mara2 mbili mkamdhalilisha mitandaoni nae kwa Hutu wake na heshima yake alikuwa analalamika na kujitetea msinipige Picha wala kutuma mtandaoni kuna kipindi ukiisikiliza clip unasikia anasema yukotayali kutii lolote lakini msinipige Picha wala msiitume mitandaoni bado wahovu walitupia mitandaoni na wengine wanawake wasio na haya wakaamua kusambaza Picha mwenyezimungu awalaanii duniani na akhera!

Umeongea vyema il kajifunza kutofautisha "R na L" na "A na H" i.e. Sheria sio shelia, msamaha sio msamaa, hamjamfikiria sio amjamfikilia na mengine mengi, inatia uvivu kusoma
 
Umeongea vyema il kajifunza kutofautisha "R na L" na "A na H" i.e. Sheria sio shelia, msamaha sio msamaa, hamjamfikiria sio amjamfikilia na mengine mengi, inatia uvivu kusoma

Ushauri tu: unapokosoa uandishi wa mwenzio hakikisha wa kwako umenyooka.

Hebu rudia kusoma ulichoandika uone na wewe makosa yako.
 
duh ila nimeisikia audio tu duh pole ya dada yetu ila nahisi kupungukiwa kidogo japo ningalioa kavideo kiduchu ili nipate uchungu kamili maana hawa wabakaji kama kungekuwa na sheria wangehasiwa kabisa.....

Hao kuhasiwa peke yake haitoshi, yaan mi walivyonikera,natamani huyo aliembaka huyo Dada wangeruhusu nayeye kabla ya kwenda jela apigwe mashine na yeye kwenye ti.go yake,
 
Back
Top Bottom