DOKEZO  Mombo Seleman kuwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa (TISS). Aliyepo anafukuzwa muda wowote

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mombo Selemani alichaguliwa.
Ndiye boss kule mpaka sasa?
Law of chain reaction wanaitwa.
Unspowafukuza Hawa viongozi mara nyingi namba husababishi chain reaction?
Kwa maana kwamba hata kiongozi mpya alichaguliwa anakosa credibility hata kwa TISS wenyewe?
Yaani maana yangu ni kwamba wao ambao ndio kazi yao kuondoa uovu,huko kwao labda wanaishi kwa intrigue.
 
Asingeweza kiwakumbatia wapinzni kwa sababu Wenyeviti wa vyama vikuu vya upinzani kwa maana ya Chadema na ACT walikua wamenunuliwa na mafisadi wakubwa ili wafanye vurugu kama ilivo Kenya leo. Zito angetumia udini na Mbowe Ukabila . Lisu hakujua kinachoendelea kawa anasimamia maamuzi ya Mwenyekiti atokeo yake akapigwa risasi kwa sababu ni kiongozi asiyekubali kurudi nyuma.

Kwenye siasa za upinzani Lisu ni tishio hata kwa wapinzani wenzake achilia mbali CCM.

Msigwa ni chawa wa Lisu ndani ya CCM. Lisu akishinda uchaguzi Msigwa atarudi Chadema.

Mafisadi walicheza mchezo wa sayansi kubwa sana ya siasa.
Tanzania ni nchi yenye mabilionea wengi sana wanaoficha pesa majumbani kama somalia kutokana na kutopenda mifumo ya riba kwenye mabanki. Wengi hawalipi kodi.

Mabilionea Waliopo wangelipa Kodi inavyotakiwa hakikauchumi wa nchi ungekua kwa Kasi sana.
Umetema nondo sana
 
Back
Top Bottom