DOKEZO  Mombo Seleman kuwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa (TISS). Aliyepo anafukuzwa muda wowote

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Duh....!, mbona sasa ndio umemharibia?. Hata kama ilikuwa iwe hivyo kiukweli, sasa umeisha mharibia!, all and all, japo ile ya Katto ni kweli, huu ni uongo na uzushi tuu!

Kwa nini umenitag mimi tuu?!, kama uongo huu ungekuwa kweli, na ingekuwa na mimi ni mtu wa kule, si ungeniponza bure kuonekana kama ni mimi ndie navujisha?!.

P
Mkuu voice from within
 
Naomba link ya ile thread yako kuhusu pingili za shingo.
P
Nilimtaja sehemu nyingi 😂
IMG_4922.png
 
Kama ni kweli kulikuwa na mpango huo basi umedhamiria kumharibia jamaa asiipate hiyo nafasi,huu ni uchawi kabisa umefanya.

Au labda kama unaamini kuwa hatoshi kwenye hiyo nafasi hivyo umelisaidia taifa kupata boss wa wavaa miwani asiye na sifa.
Mh
 
Duh....!, mbona sasa ndio umemharibia?. Hata kama ilikuwa iwe hivyo kiukweli, sasa umeisha mharibia!, all and all, japo ile ya Katto ni kweli, huu ni uongo na uzushi tuu!

Kwa nini umenitag mimi tuu?!, kama uongo huu ungekuwa kweli, na ingekuwa na mimi ni mtu wa kule, si ungeniponza bure kuonekana kama ni mimi ndie navujisha?!.

P
Mbona unaogopa mkuu. Sisi tunakujua kama ni TISS.
 
Back
Top Bottom