Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,688
- 3,734
Habari
Ukifuatilia Historia ya DRC utaona inaongozwa na viongozi wengi wasio na uwezo wa kufanya CONGO kua nchi yenye nguvu kiuchumi, Kisiasa, Kiintelligencia na kijamii nchi ya CONGO imekua shamba la bibi yenye serikali zilizofeli muda wote.
Mpaka sasa kuna makundi 120 yanatawala sehemu tofauti tofauti huku serikali imejikalia Kinshasa haina habari. Ni sawa na mtu aliyepararasi miguu na mikono, wakati panya wakitafuna miguu na vidole vya mikono yake huyu mtu hana habar na wala hajui wala haoni jinsi panya wanavopanga na kusogea taaratibu kumshambulia.
Mobutu alikua raisi aliyechukiwa na baadhi ya wakongo man lakini ndiye alikua raisi mwenye nguvu. Jeshi lake lilikua imara kipindi hiko CONGO ndiyo ilikua inasumbua nchi zingine
Congo ilikua ikisapoti waasi wa ANGOLA walioongozwa na savimbi.
Kifupi kongo ilikua haishikiki mpaka pale msaliti au chama pinzani kijana Laurent kabila alipoungana na maadui wa kongo kutoka.
Rwanda, Uganda, Burundi na watusi/ wanyamulenge wa Mashariki ya kongo kupambana kwenda kumpindua
INASADIKIKA
Wazungu ambao mwanzo walikua rafiki zake walikua wanajaribu kumpindua kijeshi lakini ilikua ngumu kwan alikua analindwa na ulinzi wa Portugues (So intelligencia yake ya makao makuu ilikua siyo ya kitoto)
Kwaiyo unaweza ona kua Mobutu serikali yake haikua ya kizembe ziliungana nchi tatu na maelfu ya raia wake waliorubuniwa na wageni kwenda kumpindua.
Hivi leo
Jeshi legelege wengine wanagoma kupigana , Uwanja wa vita wengine wanakimbia nchi imejaa rushwa ,Jeshi halina displine .
Hamna Jeshi lisilo na displine au kuliko jaaa rushwa linaweza shinda vita NEVA
Mpaka leo Congo haijatulia mauaji hayaishi serikali ni mbovu kuliko wakati wwte ule.Nchi kubwa imebaki kulia lia.
Kwa muda mfupi mambo yamebadilika.Mobutu hakujiandaa kwa yajayo .
TANZANIA IS NEXT CRISIS ipo kwene same pattern