bukoba04
JF-Expert Member
- Dec 26, 2014
- 1,402
- 1,291
yaani umefanya moyo wangu huisi kama umepigwa shoti, pole dada..Nililia baada ya kumkumbuka mama yangu ambaye ni marehem, nilitaman angekuwepo hai.
mimi nililia kuona kaka yangu anaoa, lkn ndugu waujombani wanagombainia watambulishwe kama wazazi, niliona sura za wzazi wangu kwenye machozi
pole sana dada