Mlioolewa ni nini kiliwaliza siku ya harusi?

Huwa ni hisia ya kipekee na ya ajabu na hakika huwa haijirudii,
Unakuta anawaza waliyopitia hadi hatua hiyo, wengine unakuta wamepitia maneno ya kila aina kebehi, maudhi, na mwingine anawaza maisha baada ya ndoa. Unakuta machozi yakitoka
 
Kwa wale waliobahatika chereko chereko, ni nini kiliwatoa machozi siku ya harusi. Miaka hiyo mama zetu walilia kwakuwa waliolewa wakiwa wadogo, miaka 18,19, 20 mtu wa 21 au 22 alionekana amebaki kwenye shelf.

Sasa unamkuta dada wa 35 anaolewa, anatoa machozi siku ya harusi. Hapa bado sijaelewa, kuwa ni emotions kuwa hakutegemea, anawaacha wazazi au anaogopa haki ya ndoa?
Kuna waliotendwa mpaka waka kata ta
3ca9fbab4f5632b78b65f1c0b9e347d6.jpg
maa ya NDOA sasa aje kumpata husband wa maisha yake why asilie kwa furaha mama yangu mdogo kaolewa 2015 akiwa 34 nyumbani hakuna aliyetegemea
 
Kwa wale waliobahatika chereko chereko, ni nini kiliwatoa machozi siku ya harusi. Miaka hiyo mama zetu walilia kwakuwa waliolewa wakiwa wadogo, miaka 18,19, 20 mtu wa 21 au 22 alionekana amebaki kwenye shelf.

Sasa unamkuta dada wa 35 anaolewa, anatoa machozi siku ya harusi. Hapa bado sijaelewa, kuwa ni emotions kuwa hakutegemea, anawaacha wazazi au anaogopa haki ya ndoa?
Kwani wapo wanaolia siku hizi?
 
Kumbe wewe bado hujaolewa sky Eclat? Au unawekwa kinyumba tu?
 
Mi nlilia siku ya send off tena sio ukumbini nyumbani mda naagana na mama kwenda kwenye maandalizi ya harusi mkoa mwingine .

Nadhani kinacholiza ni ile kuondoka nyumbani na kwamba kurudi tena ni mpaka kuwe na makubaliano na mwenza wako.Kitu ambacho hapo awali hakikuwepo.
 
Anawaza kipenzi chake cha moyo wake aliekiacha na kwenda kuolewa na hilo jamaa ili mradi atoe nuksi tu..ndio michozi hutoka mana ndio basi tena
case kama hii nimekutana nayo kwa dada flani!....
 
Sikulia ukumbini sababu ya makeup. Nilijikaza kisawasawa. Tulipofika hotel niliangusha kilio hicho.
Nilikuwa na mchanganyiko wa hisia za furaha na huzuni. Nilifurahi kutimiza ndoto. Pili nilikuwa nakumbuka maneno ya baba na nilikuwa nasikitika kuwaacha wa kwetu.
 
Kwa wale waliobahatika chereko chereko, ni nini kiliwatoa machozi siku ya harusi. Miaka hiyo mama zetu walilia kwakuwa waliolewa wakiwa wadogo, miaka 18,19, 20 mtu wa 21 au 22 alionekana amebaki kwenye shelf.

Sasa unamkuta dada wa 35 anaolewa, anatoa machozi siku ya harusi. Hapa bado sijaelewa, kuwa ni emotions kuwa hakutegemea, anawaacha wazazi au anaogopa haki ya ndoa?
nlikua na 21yrs kadogoo...
ndo hilo kubwa halafu na kamimba!

acha tu!
 
nlikua na 21yrs kadogoo...
ndo hilo kubwa halafu na kamimba!

acha tu!
Mkuu case yako inaeleweka tena hasa pale kwenye kitchen party wanaposema mama mkwe ndiyo mama yako, ukifikiria miaka 21 na mimba umtegemee mama mkwe, kwenda kwa mama yako uombe ruhusa, kweli unaweza kulia.
 
Ukweli wanaujua wenyewe mabibi harusi, mimi nilishuhudia kama wawili hivi waliopitisha 35 na wakalia kanisani, baada ya kuonekana hakuna mwenye kizuizi cha ndoa!!!!Maana wale waume zao walikuwa hawajatulia kabisa.
 
Back
Top Bottom