Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,993
- 22,398
Nyerere ndio alikuwa na busara??Dc asijitetee, WENDA hao Wana kero zao sugu ,ambazo hazijapatiwa majibu, kwa tz ukiona mwananchi,au wananchi wafanya hivi, jua Kuna Jambo,tatizo la viongozi ni kukimbilia kujikosha
Acheni Mambo mepesi ,Sasa Kama Kuna tatizo na unamsimamisha MWENYEKITI si ndo unazidisha chuki KWA wenyenchi, ?
Ilikua ni kumuita MWENYEKITI na kujua tatizo na jinsi ya kulitatua Basi ,hivi tz busara KWA viongozi alikufanazo Nyerere?
Mijitu mko brainwashed sana. Huyo Nyerere aliwahi kumuita mpigania uhuru mwenzie (kiongozi) Malaya