rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,367
- 22,527
umenikumbusha wakati nasoma mwakaleli second master alikuwa na tabia hiyohiyo pia niliikuta MkwawaEnzi zetu tulikuaga na Second Master yaani ikitokea Headmaster kasafiri hata siku mbili tu akirudi anakuta nusu ya shule mmepigwa suspension.... headmaster anaanza kuhangaika kuwarudisha...yule ticha angefaa sana kwenye hii serikali ya Magu...full kusimamishana kazi