Ndiyo maana huwa tunashauliwa kabla ya kuandika tafakari japo kidogo, hv unataka kusema leo hii rais achukue pesa azimwage mtaani kisha watu wote waseme sa iv hali nzr?Kutumbua ndio sera yao wakati wananchi mtaani hali ni mbaya wangejikita kuboresha huduma za jamii kwanza wamesahau mambo ya muhimu wao ni majipu tu.
Hahahaah,,,,,,,,,huyo safi sanaEnzi zetu tulikuaga na Second Master yaani ikitokea Headmaster kasafiri hata siku mbili tu akirudi anakuta nusu ya shule mmepigwa suspension.... headmaster anaanza kuhangaika kuwarudisha...yule ticha angefaa sana kwenye hii serikali ya Magu...full kusimamishana kazi
Mkuu, hivi job descriptions ni swala la kuhitaji mafunzo ili kuongeza ufanisi , kwani wakati wana saini mikataba ya ajira hawakuweza kusoma job descriptions zao..!!?Utumbuajiiii. Kwani alishampa mafunzo jinsi ya kuinua utendaji kazi wake ili asimamie wengine? Serikali ya Magu haijui kama kuna sheria.
Huko tunakotaka tufike lazima sasa ifike kipindi haya yanayo fanyika yafanyike ili tuweze kufika huko unapo pasema.Sasa sina hakika na hii shughuli ya kutumbua majipu kama tutafika huko tunakotaka kwenda
Mkuu...Kila waziri anajitahidi asimamishe mtu ili aonekane si mzigo.
Yaani serikali ya JPM imejaa maigizo
Kila jambo lina wakati wake mkuu.Hivi aliyewaweka hao watumishi wanaotumbuliwa jipu hakuyaona hayo?na kama aliyanyamanzia kwa nini wasianze na yeye?
Tija yako ikiwa ndogo inabidi uwaachie ofisi wengine, na wao wakifanya uzembe inabidi wawe tayari kuwaachia ofisi wengine wenye uwezo. Cheo ni dhamana, ukishindwa kufanya kazi kwa mujibu wa matakwa ya dhamana, inabidi ofisi uliyoizoea uiache kwa mwingine.Hivi aliyewaweka hao watumishi wanaotumbuliwa jipu hakuyaona hayo?na kama aliyanyamanzia kwa nini wasianze na yeye?
yapi hayo?Yanayofanywa na magufuli leo angeyafanya lowasa akiwa raisi basi lowasa angeonekana malaika!
TUMECHOKA KUSIKIA MAJIPU WAKATI BEI YA UNGA IKO JUUWaziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora Angella Kairuki amemsimamisha kazi Mkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma Said Nassoro kwa kushindwa kusimamia watendaji wake pamoja na watumishi wengine wawili Silvanus Ngata mtumishi wa makao makuu na bwana Joseph Mbwilo mkuu wa chuo cha Kampasi ya Dar es Salaam.
You are completely ignorant of the laws broda. Ili kuprove mfanyakazi kashindwa majukumu yake kuna mambo kadhaa unapaswa uangalie na sio kukimbilia kfukuza au kusimamisha. Sheria iko wazi.Mkuu, hivi job descriptions ni swala la kuhitaji mafunzo ili kuongeza ufanisi , kwani wakati wana saini mikataba ya ajira hawakuweza kusoma job descriptions zao..!!?
Anyway...
Kwataarifa yako wewe unae ishangaa serikali kwamba haijui sheria, nadhani ndie haujui kwamba wenye dhamana wamepewa mamlaka ya kuhakikisha na kusimamia sheria
Huko tunakotaka tufike lazima sasa ifike kipindi haya yanayo fanyika yafanyike ili tuweze kufika huko unapo pasema.
Ukweli ni kwamba watumishi wa serikali waliacha njia kuu na kutopea kwenye utendeji m-bovu na dhaifu. Hivyo hata kufikia waziri kufanya maamuzi hayo usidhani kwamba anaifanyia tu pasipo kupitia sheria za kazi. Lazima kuna sheria za kazi zinazo simamia uwajibishwaji wa watendeji wabovu wa serikali.
Job descrption zipo tu. Ila poor perfomance maana yake ni kushindwa hiyo job description. Ili umwajibishe sheria inakutaka ufanye mambo kadhaa na mojaawapo ni kuhkikisha umempeleka kozi ili kuongeza uwezo. Iko wazi. Isitoshe waziri hana mamlaka kisheria kumsimamisha/kumfukuza mfanyakazi yo yote maana yeye sio mwajiri wake. Kama ni chuo mkuu wa chuo anawajibika kwa bodi yake na sio waziri. Kwa hiyo maamuzi kama haya mahakamani huwa "null and void ab initial"Unachekesha kweli, mtu ukianza kazi kwani hapewi duties zake au kujua job description?