Hawa wanaochukuwa hatua sasa hivi si walikuwepo utawala uliopita.Hata wangeripotiwa hatua zisingechukuliwa kwa namna serikali ilikuwa inaendeshwa,utawala huu kidogo tunaona tofauti
Yote haya yalifanyika wakati wa JK. What a worst president in our history!
Tukubaliane kwa pamoja. Serikali iliyopita haikua na msimamiaji
Uongozi wa chini unategemea sana uongozi wa juu.Kama juu ni hovyo basi hata uongozi wa chini utakuwa hivyo pia.Hawa wanaochukuwa hatua sasa hivi si walikuwepo utawala uliopita.
Mi nadhani,mara nyingi baba akiwa mvivu au ni mtu wa magumashi sana basi na watoto hufuata humohumo. Hivyo hata katika utawala wa nchi kama kiongozi wa nchi anakua mzembe na mtu wa magumashi na wananchi wanakua hivyohivyo. Ndo hayo sasa tunayoyaona kipindi cha The second Jk.Weka conclusion basi; kwamba kwa maelezo yako, watanzania watumike tu kupiga kura na kuiweka serikali madarakani, ila ajira wasipewe aslani, bali wapewe raia wa nje. Malizia mkuu, ha ari yako bado ni inconclusive
huyo jamaa wa immigration leonard igogo ,kwanza anatumia cheti feki jina lake halisi ni paul igogo hilo leonard igogo jina ni la marehemu tuliokuwa mzumbe miaka ya 2000 nafikiri mnamkumbuka!uhamiaji walivyogundua wakamtoa hapa sirari kumpeleka mtwara!
juzi kati kapiga pesa za dangote nasikia anajenga shule.
I get twisted when most of Heads of HR hapa bongo ni foreigners kuna wakati Tanga cement walikuwa na director of HR mkenya, This is not fair at all
Hii nchi hivi ina taabu gani? Mbona wageni hupewa kipaumbele hata kuzidi wenye nchi wenyewe cha maajabu kazi wanazokuja kuzifanya ni za kawaida ambazo zingefanywa na mtanzania tena kwa ufanisi wa hali ya kurizisha alafu hawa tunaojipendekeza kuwapa hizo nafasi ingia ndani ya nchi zao uone moto.kitu kingine na sisi tukipata hizi nafasi basi tupunguze kale katabia kakujichumia pesa ambayo si halali muda mwingine tunakatisha tamaa.
Mkurugenzi mkuu wa kiwanda cha saruji cha Dangote Mtwara amefikishwa mahakamani leo 08/12/2015 kwa kosa la kuishi nchini bila kibali na kuwadharau maofisa wa serikali (Uhamiaji).
Mkurugenzi huyo raia wa India, anaesemekana amekuwepo nchini zaidi ya miaka 5 sasa bila kibali halali na bila kulipa gharama zinazojulikana kwa jina la CTA-Fees (USD 250 @ mhindi na mchina aliepo Dangote ambao ni zaidi ya 300) na USD 600 @ special fee, pesa hizo za CTA ambazo zinakadiriwa kufika USD 5Million sawa na zaidi ya Billion 10TZS ambazo zilishatolewaa/zinaatolewa mara kwa mara na Dangote makao makuu lakini zimekua hazifiki serikalini na kuishia mikononi mwa maafisa wachache wa uhamiaji wasio waaminifu ("kilisema chanzo icho chaa habari" kikimtaja afisa mmoja wa uhamiaji kwa jina la Leonard Igogo wa Ofisi za Uhamiaji Mtwara akishirikiaana na wenzie).
Pamoja na raia uyo wa India uhamiaji pia inamtafuta Mkurugenzi wa Fedha wa Dangote Mtwara aliejulikana kwa jina la Tolukisinzi kwa kuruhusu pesa hizo kulipwa kienyeji.
Pamoja na kukamatwa kwa muhindi huyo bado idara ya uhamiaji mtwara na wizara ya kazi zinalalamikiwa kwa kutofanya kazi zao inavyopaswa-kiasi cha kuruhusu raia wengi wa kigeni kiwandani hapo ambao wengi wao wanafanya kazi za ukarani lakini vibali vyao vinaonyesha kua ni mainjinia wa kihindi, majina yao na kazi zao ni kama ifuaatavyo:-
1. Selevam mkubwa - store keeper
2. Sanitosi - mjaza mafuta na mtunza rekodi za mafuta (aliedanganya kua ni engineer wa miamba zaidi ya Prof. Mhongo).
3. John Olakoni (raia wa naijeria) jeolojist mwenye diploma uyu yupo Tanzania toka 2006. Sasa sijui amepewa uraia Tayari?
4. Sura Red - fundi magari.
5. Panti - huyu hana ata vibali kwa taarifa tulizopata kutoka kwa watu wake wa karibu.
6. Selvam mdogo - uyu ni clearing agent wa mizigo ya kiwanda cha dangote kipenzi cha wafanyakazi wa bandari ya Mtwara.
7. Pushpenda - afisa mauzo
8. Dipa Nandi - electrical technician
9. Kumar Rakishe - godown officer
10. Satiyan - mechanical assistant
11. Narayani - mtunza store na records assistant
12. Manuji - mpasua miamba
13. Aravinda - mpima diseli
Orodha nyengine nitawaletea ikipatikana, ila kwa kuanzia Waziri Mavunde, Kitwanga, Simbachawene wanaweza kuanza na hao ambao ni robo theluthi ya raia hao wanaofanyakazi zinazowezwa kufwanya kwa ufasaha zaidi na WATANZANIA
Narayani Aravinda - uyu nae ni store ofisa na mtunza rekodi.
Lakini tukirudi nyuma na sisi Watanzani linapokuja suala la kuwajibika tukubali tuna tatizo, hakuna mwekezaji anaye weza kukubali kufanya kazi na watu wazembe na walalamishi,nakubali sio vizuri kuajiri wageni kwenye ajira ambazo Watanzania wana sifa, tusikazanie vyeti tu hata utendaji kazi una matter sana.wakuu selikari
mimi nasema sasa hivi mifumo ibadirishwe watanzania tunayo Mitambo ya construction tunao wataalam wengi tu wao waje na wataalam maalum na Equipments maalum na siyo kuwaachia tu wafanye watakavyo Nchi yetu itabaki na watu maskini wao kila leo wanasonga mbele
Moh hawezi kufanya ujinga kama huo, labda kwenye vitengo special ambavyo hakuna Watanzania wenye utaalum wa kumudu vitengo uhusika.Wakitoka huko wahamie METL na Quality group huko wswahili ni vibarua hadi store keepers wahindi
Ilikua chini ya JK na sasa iko chini ya Magufuli ambaye ni CCM na kupitia serikali yake ndo umeanza kuona haya madudu. Tulia mambo yarekebishwe halafu ndio utaongea. Hatuzungumzii past hapa, ni Present na Future tu!. Tusianze siasa hata kwenye hiliCcm Tulisema Imechoka Tuitoe Huwezi Laumu Uhamiaji Wakati Serikali Ilikuwa Chini Ya Jk