Kuelekea 2025 LGE2024 Mkubali msikubali Uchaguzi wa 2024/25 hautakuwa huru na haki

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

tripof

JF-Expert Member
Apr 2, 2024
760
1,037
Kuna dalili zimeanza kujitokeza kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa 2024, wabunge, madiwani na Rais 2025 kutokuwa huru na haki.

Hii ni kutokana na ushahidi wa chaguzi ndogo zilizofanyika hivi karibuni kulalamikiwa na ACT wazalendo na hata kususia uchaguzi uliofanyika mwezi huu Zanzibar. Hivyo, inaonekana kuwepo na kasoro au makusudi kutotekeleza 4R za Rais kwa watendaji wa chini. Swali je katika mazingira haya nini kifanyike? Kuna resistence to change.

Tuwashukuru ACT ushiriki wao kwenye chaguzi ndogo za marudio umetupa taswira ya uchaguzi ujao. Toa maoni yako.
 
Sasa wewe kwa akili ya kawaida unategemea CCM ataweka mazingira ya uchaguzi huru na wa haki ili apoteze majimbo, mitaa na kiti cha urais.
 
Back
Top Bottom