ntita JF-Expert Member Dec 31, 2013 513 285 Feb 27, 2016 Thread starter #21 Ngalikihinja said: Naomba utueleze nana ya kufungua masomi yajayo n.a. yaliyopita. Maana mpaka sasa naweza yaona masomo ya leo tu Click to expand... kwa juu kushoto kuna ka-icon kama karatasi, ukipaclick masomo ya siku nyingine yanakuja
Ngalikihinja said: Naomba utueleze nana ya kufungua masomi yajayo n.a. yaliyopita. Maana mpaka sasa naweza yaona masomo ya leo tu Click to expand... kwa juu kushoto kuna ka-icon kama karatasi, ukipaclick masomo ya siku nyingine yanakuja
Sir_Mimi JF-Expert Member Jun 21, 2013 7,171 15,740 Feb 27, 2016 #23 ntita said: ngoja niwasiliane na developer wa hii app... ntakupa mrejesho. Click to expand... Asante mkuu.
ntita said: ngoja niwasiliane na developer wa hii app... ntakupa mrejesho. Click to expand... Asante mkuu.
Sir_Mimi JF-Expert Member Jun 21, 2013 7,171 15,740 Feb 27, 2016 #24 kambagasa said: Tumsifu Yesu Kristu Click to expand... Milele Amina.
ze kokuyo JF-Expert Member Jan 24, 2014 7,417 9,603 Feb 28, 2016 #26 AlP0L0 said: Yes! Sasa hivi ibada zote ndani ya rom tu, haina haja kwenda Kanisani. Click to expand...
AlP0L0 said: Yes! Sasa hivi ibada zote ndani ya rom tu, haina haja kwenda Kanisani. Click to expand...