Mkeo akiwa na tabia hii utamfanya nini kwa mfano?

aisee pole cha kufanya mpeleke kwa wazeee huko atafundwa naona hajafundwa
halafu mke hawi hivo huyo atakuwa wa kupita tu pole
 
Unapata safari ya kikazi wiki 2 nje ya mkoa, Kabla ya kuondoka Unamuachia mkeo hela ya matumiz ya familia ndani ya nyumba sh 400,000 (laki nne), halafu unampa sh 300,000 (laki 3) akalipe ada ya shule ya mtoto. Ada halipi, bali hela ya ada anapeleka kwenye vikoba bila kukujulisha. Ukimuuliza kama ada umelipa anajibu amelipa. Unaporudi toka safari unamwambia alete risiti aliyolipia ada anajifanya kuitafuta, kisha anasema haionekani imepotea. Unakwenda shuleni kufuatilia kama ada ya mtoto imelipwa unakuta haijalipwa. Ikitokea huyu ndio mke wako utamchukuliaje? utamfanya nini labda?
Huwezi kuanza na laki tatu huyo atakua alianza zamani ila jamaa alimchukulia Poa angekua anaulizia kilà kitu asingejaribu kucheza na hiyo pesa
 
Unapata safari ya kikazi wiki 2 nje ya mkoa, Kabla ya kuondoka Unamuachia mkeo hela ya matumiz ya familia ndani ya nyumba sh 400,000 (laki nne), halafu unampa sh 300,000 (laki 3) akalipe ada ya shule ya mtoto. Ada halipi, bali hela ya ada anapeleka kwenye vikoba bila kukujulisha. Ukimuuliza kama ada umelipa anajibu amelipa. Unaporudi toka safari unamwambia alete risiti aliyolipia ada anajifanya kuitafuta, kisha anasema haionekani imepotea. Unakwenda shuleni kufuatilia kama ada ya mtoto imelipwa unakuta haijalipwa. Ikitokea huyu ndio mke wako utamchukuliaje? utamfanya nini labda?

Unapiga chini. Huyo ni mwizi tapeli mbaya sana
 
Haya mambo yapo kabisa kiuhalisia,sijui hapa hua mwanamke anafikiria nini,lakini mara nyingi hii huwa ni chanzo cha kuporomoka kwa amani ndani ya nyumba,inakuwa hivi na mengineyo.
 
Utakuwa unambana vikoba,hebu shirikianeni
maana faida ya vikobe ni yenu nyote.Mwanamke ukimbana sana atajifunza tabia mbaya sana kukukwepa ujue binadamu wana akili nyingi.Angekuwa hiyo hela ameinywa pombe au haijulikani ilipo sawa lakini kwenye vikoba kama umehakiki ni kweli zipo huko POwa.
Me mke wangu nilikuwa sitaki ajiunge kwenye vikoba lakini mwishowe nilimkubalia ila mpaka sasa naona faida sake kwa kweli nanufaika na vikoba hivyo.
 
mtafutie kazi ili hela ya vikoba iwe yake, asijitutumue kwa vitu asivoviweza....hata mi kanikera
 
ni mwajiriwa serikalini kwa hiyo ana kipato chake cha kufanyia mambo yake. Lakini anaona hazitoshi hadi anakomba na ada ya motto wake. wanawake wengine ni majanga sana.
 
Talaka tatu,moja namtumia babaake kwa email,nyengine naifowadi kwa mama mzazi kwenye wasap,moja namprintia na kuifanyia laminesheni namkabidhi mwenyewe
 
kwani yeye haoni umuhimu wa kusomesha mtoto wake? hampangi mambo kwa pamoja na hiyo ndiyo sababu kila mtu anafanya yake.
 
Back
Top Bottom