Kiparuanda
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 1,577
- 2,377
Buruta mahakamani
She's teaching you in a hard way...
Kuna baadhi ya wanaume hawajuikujali watoto wao physical yaani baba hajawahi mbeba mwanae, hajui size ya kiatu zaidi zaid anajua tu financial care,
Ada uwe unalipa na Muda mwingine peleka mwanao shule,
Us ikae kushindana na mwanamke na kutafuta cha kumfanya.
Nenda kalipe Ada kisha mwambie akachukue hiyo hela kwenye vicoba akupatie.
Hata mimi ada huwa nalipa mwenyewe. watoto naondoka nao ninapokwenda mzigoni, nawadrop shuleni. Ila tu kipindi hiki tu nilipata dharura/safari kabla sijalipa ada na wakati huohuo shule inakaribia kufungua nikujua angelipa. Loo najutaje?Mkuu mimi ada huwa nalipa mwenyewe Ila kumpeleka mtoto shule my wife wangu ndo jukumu lake. Hayo ni moja ya mambo muhimu ktk family sbb ukibugi tu umeumia mtoto haendi shule. Na wanawake zetu Kama hao ndo hivyo tena!
Hahahaaaaa.Jina lako limenikumbusha wimbo wa Twanga Pepeta Emmynata "Sitaki tena kuwa na aweweee Emmynata kwa kuwa mambo uliyonifanyia Yanasikitisha sanaa" enzi za Ally Choki akina Amigorasi daah TBT la nguvu
Maswali ya msingi ni haya,
1: kwa nini ulipokuwa safari ulimuuliza kama keshalipa Ada?
2: Kwa nini uliporudi tu uliulizia Risiti za Ada?
3: kwa nini ulienda shule kuulizia kama ada imelipwa?
Wewe mkeo unamjua, so usiishi kwa mitego mitego, lazima ndoa yenu iwe na Mwanaume
Jibu la swali la 1. Sio kwamba nilikuwa namtega bali ni jambo la kawaida tu. kwa mfano kama umempa mtu kazi Fulani afanye, si vibaya kumuuliza kama amefanya, imeisha au haijaisha. Kwa kuwa napenda watoto wasifukuzwe shule kwa ajili ya ada ni wajibu wangu kabisa kuhakikisha mtu yeyote yule ninayemuagiza akalipe ada ananipa mrejesho kama amelipa. kama hajalipa tatizo nini? Lengo sio kumtega bali ninawajibika kama baba. Na mara nyingi ada na michango mingine huwa nakwenda kulipa mwenyewe. ila kipindi hiki nilipata dharura/safari ya ghafla ndio maana nikampa hela akalipe ada. Kumbe majanga.
Jibu swali la 2: Niliporudi nilimuuliza anipe risit ya ada kwa sababu siku zote mimi ndio huwa nalipa ada na nazitunza risiti zote mimi mwenyewe. Sipendi risiti yoyote ipotee bila sababu ya msingi ili ikitokea naambiwa nadaiwa ada basi napeleka ushahidi kuwa nimelipa na sidaiwi. Kwa hiyo nilimdai risiti kwa nia njema kabisa ili niitunze sehemu salama pamoja na risiti za miaka ya nyuma. Bila shaka hata wewe huwezi kumpa mtu hela akalipie ada ya mwanao au ndugu yeyote halafu usidai akupe risit utunze kumbukumbu.
Jinu swali la 3: Kama ameshindwa kunipa risiti, ilikuwa ni wajibu wangu kuhakikisha kama kweli risiti imepotea au kuna jambo lingine. Hata wewe ukimtuma mtu akakuingizie hela benki, ukimdai risit asikupe au ameseme hajapewa au imepote Je utabaki kimya kwa kuwa alifayanya hivyo unamwamini? Siitabidi uhakikishe kwa kuangalia salio lako benk kama limeongeza sawa na pesa uliingiza. So mazingira ni hayo. Huyu mwanamke ni wazi ana shida kichwani
nashukuru kwa ushauri. Nilisawazisha mambo tayari na ndio maana niliwenda hadi shule kujua ukweli. Sipendi watoto wangu wakose hata robo ya kipindi kimoja cha darasani.Fanya yoooote mtoto asitolewe nje ya chumba cha mtiani....mke kama huyo ni kosa lako kuchagua sio mtoto
Taraka 2 hakuna mke hapo una jikeUnapata safari ya kikazi wiki 2 nje ya mkoa, Kabla ya kuondoka Unamuachia mkeo hela ya matumiz ya familia ndani ya nyumba sh 400,000 (laki nne), halafu unampa sh 300,000 (laki 3) akalipe ada ya shule ya mtoto. Ada halipi, bali hela ya ada anapeleka kwenye vikoba bila kukujulisha. Ukimuuliza kama ada umelipa anajibu amelipa. Unaporudi toka safari unamwambia alete risiti aliyolipia ada anajifanya kuitafuta, kisha anasema haionekani imepotea. Unakwenda shuleni kufuatilia kama ada ya mtoto imelipwa unakuta haijalipwa. Ikitokea huyu ndio mke wako utamchukuliaje? utamfanya nini labda?
Jibu la swali la 1. Sio kwamba nilikuwa namtega bali ni jambo la kawaida tu. kwa mfano kama umempa mtu kazi Fulani afanye, si vibaya kumuuliza kama amefanya, imeisha au haijaisha. Kwa kuwa napenda watoto wasifukuzwe shule kwa ajili ya ada ni wajibu wangu kabisa kuhakikisha mtu yeyote yule ninayemuagiza akalipe ada ananipa mrejesho kama amelipa. kama hajalipa tatizo nini? Lengo sio kumtega bali ninawajibika kama baba. Na mara nyingi ada na michango mingine huwa nakwenda kulipa mwenyewe. ila kipindi hiki nilipata dharura/safari ya ghafla ndio maana nikampa hela akalipe ada. Kumbe majanga.
Jibu swali la 2: Niliporudi nilimuuliza anipe risit ya ada kwa sababu siku zote mimi ndio huwa nalipa ada na nazitunza risiti zote mimi mwenyewe. Sipendi risiti yoyote ipotee bila sababu ya msingi ili ikitokea naambiwa nadaiwa ada basi napeleka ushahidi kuwa nimelipa na sidaiwi. Kwa hiyo nilimdai risiti kwa nia njema kabisa ili niitunze sehemu salama pamoja na risiti za miaka ya nyuma. Bila shaka hata wewe huwezi kumpa mtu hela akalipie ada ya mwanao au ndugu yeyote halafu usidai akupe risit utunze kumbukumbu.
Jibu swali la 3: Kama ameshindwa kunipa risiti, ilikuwa ni wajibu wangu kuhakikisha kama kweli risiti imepotea au kuna jambo lingine. Hata wewe ukimtuma mtu akakuingizie hela benki, ukimdai risit asikupe au ameseme hajapewa au imepote Je utabaki kimya kwa kuwa alifayanya hivyo unamwamini? Siitabidi uhakikishe kwa kuangalia salio lako benk kama limeongeza sawa na pesa uliingiza. So mazingira ni hayo. Huyu mwanamke ni wazi ana shida kichwani
ndie mama wa mtoto?Shughuli zote za msingi zinazohusu watoto huwa nafanya mwenyewe mfano ada, usafiri, michango yote nakwenda kulipa mimi mwenyewe. Na risiti natunza mwenyewe, ndio maana nilimdai risiti anipe niitunzwe. Isipokuwa kipindi hiki nilikuwa na dharura nikaondoka kabla ada sijalipa. Nikajua nikimwachia hela atalipa. Looh kumbe majanga. Hizi ndoa ni shida
sasa sabubu si ukamuulize yeye akwambie! ulikuwa unaleta uku ili iweje? acha u mock wewe!Na matusi yamo. ...kwani hujasoma kuwa kapeleka kwenye vicoba mimi nataka sababu ya kupeleka huko wewe mbumbumbu
Shughuli zote za msingi zinazohusu watoto huwa nafanya mwenyewe mfano ada, usafiri, michango yote nakwenda kulipa mimi mwenyewe. Na risiti natunza mwenyewe, ndio maana nilimdai risiti anipe niitunzwe. Isipokuwa kipindi hiki nilikuwa na dharura nikaondoka kabla ada sijalipa. Nikajua nikimwachia hela atalipa. Looh kumbe majanga. Hizi ndoa ni shida
Ndiyo huyu ndio mama mzazi wa kumzaa huyu mtoto.ndie mama wa mtoto?
Stupid...ooouuhh Boy naona ndoa nyingi ni stupid na smart ni chache ndo maana michango ya harusi mikubwa na harusi za kifahari alafu mwaka haukati waomba separation&divorce orders kwa Court.
Asante, hili tukio ni la kweli kabisa, sio utaniKama ni kweli pole,
Mkeo ana elimu gani?