Mtunisia mweusi
Member
- Oct 19, 2023
- 45
- 58
- Thread starter
- #101
Hili hasa ndio nimeamua tatizo hiyo smart sijamnunulia mimi hivyo ugomv utakuwa mzito mno.mkeo inabidi ukae nae chini umhoji kwanini alipiga hizo picha?
Lengo ni nini? Anazipeleka wapi?
Asipokupa majibu ya msingi usimpige wala kumfukuza ila mnyang'anye iyo smartphone alaf mpe kiswaswadu