Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 41,994 12,767 Jun 16, 2016 #62 nao said: Kwani kuna ubaya gani kumwita mkewe first lady? Click to expand... Hakuna ubaya wowote.!
Papushikashi JF-Expert Member Feb 28, 2016 10,911 13,229 Jun 16, 2016 #63 Dah! Yaani huyu ana vyeo kibao Nabii Mtume Mheshimiwa Dr..... Huyu ni mtu mmoja....
Ka-nabyule Member Jan 5, 2016 82 40 Jun 16, 2016 #64 Ngogo,andika kiswahili fasaha, ni "hangaika" siyo "angaika"