Mke wa Nabii & Mtume Dr H.E GeorDavie anapokuwa First Lady

Ungetupiamo hata kapicha ka huyo Fast Ledi tumlinganishe na huyu wa mwendokasi so as tukompee na kukontrasti!
 
Ungetupiamo hata kapicha ka huyo Fast Ledi tumlinganishe na huyu wa mwendokasi so as tukompee na kukontrasti!
downloadfile.jpeg
 
Nadhani kuna uendawazimu flani kwenye hii issue ya hawa wanaojiita wenye upako na wanaombea watu ,makanisa haya mengi ni viini macho na yamekua mengi kweli kweli si mchezo yaani ni balaa kubwa...
 
Nadhani kuna uendawazimu flani kwenye hii issue ya hawa wanaojiita wenye upako na wanaombea watu ,makanisa haya mengi ni viini macho na yamekua mengi kweli kweli si mchezo yaani ni balaa kubwa...
Umethibitisha au unaongea kutokana na yanayosemwa?
 
Heshima sana wanajamvi,

Leo katika angaika angaika zangu nikajikuta nimeingia Equity Bank Arusha wakati nasubiri kuhudumiwa nikawa natupia macho katika TV ndani ya ukumbi wa Bank.Channel Ten bila chenga walikuwa wakionyesha kipindi cha Nabii & Mtume Mkuu H.E Mstahiki Mheshimiwa Dr GeorDavie akionyesha mbwembwe nyingi wakati bado nashangaa akamwita Mke wake na kumtambulisha kama First lady Mrs GeorDavie ukumbi ukalipuka kwa vigelegele na shangwe kubwa.

Wateja tuliokuwa ndani ya Bank tukabaki kushangaa na kucheka jinsi hawa wanaojiita watumishi wa Mungu wanavyoweza kuteka akili za waumini wasiopenda kutumia akili walau kwa 10%.
Suala la kumuita first lady co kosa kwa kua hata mimi mke wangu ni first lady wangu... Ila hapo kwa mtume na nabii... Uuuuuwi hawa mitume wamezidi aisee... Hv suala la kuwa mtume na nabii unadhan ni kimaandaz.. Kwan mtu ukiwa mchungaj tu au askof inakuaje... Hawa hawa jamaa ni total ........***###"#*
 
Heshima sana wanajamvi,

Leo katika angaika angaika zangu nikajikuta nimeingia Equity Bank Arusha wakati nasubiri kuhudumiwa nikawa natupia macho katika TV ndani ya ukumbi wa Bank.Channel Ten bila chenga walikuwa wakionyesha kipindi cha Nabii & Mtume Mkuu H.E Mstahiki Mheshimiwa Dr GeorDavie akionyesha mbwembwe nyingi wakati bado nashangaa akamwita Mke wake na kumtambulisha kama First lady Mrs GeorDavie ukumbi ukalipuka kwa vigelegele na shangwe kubwa.

Wateja tuliokuwa ndani ya Bank tukabaki kushangaa na kucheka jinsi hawa wanaojiita watumishi wa Mungu wanavyoweza kuteka akili za waumini wasiopenda kutumia akili walau kwa 10%.
kwani kipi cha ajabu hapo wewe ndo unatakiwa utumie akili mana hakuna cha kushangaa ni mkewe anaweza akamwita anavotaka ina maana akimwita malkia ni shida mana kuna malkia Elizabeth tu ama?Sio muumin wake bt sioni la ajabu jamani.
 
Heshima sana wanajamvi,

Leo katika angaika angaika zangu nikajikuta nimeingia Equity Bank Arusha wakati nasubiri kuhudumiwa nikawa natupia macho katika TV ndani ya ukumbi wa Bank.Channel Ten bila chenga walikuwa wakionyesha kipindi cha Nabii & Mtume Mkuu H.E Mstahiki Mheshimiwa Dr GeorDavie akionyesha mbwembwe nyingi wakati bado nashangaa akamwita Mke wake na kumtambulisha kama First lady Mrs GeorDavie ukumbi ukalipuka kwa vigelegele na shangwe kubwa.

Wateja tuliokuwa ndani ya Bank tukabaki kushangaa na kucheka jinsi hawa wanaojiita watumishi wa Mungu wanavyoweza kuteka akili za waumini wasiopenda kutumia akili walau kwa 10%.
Dini ni sumu upuuzi
 
Simu zenye majina mawili ndiyo feki zaidi, ukiwasha au kuzima linatokea jina tofauti pia uwezo wa kukaa na chaji,ubora wa picha.Halafu bei zake tu utajua hii feki.
 
Soma kuanzia mwanzo hadi mwisho ndio utoe maoni yako.
Halafu unajua nini?
Mkiona watu wanashangilia hivyo nyie waacheni tu kwa sababu hata Yesu alisema yaacheni magugu na ngano yakue pamoja siku ya mavuno yatatengwa kule na kuchomwa moto. Kwa hiyo mkuu tusiwe wepesi kuamua kuwa wako sahihi au wanakosa wewe kama huamnini kaa tu kimya. AU unasema kiongozi?
 
Kawaida, hata mimi mpendwa mke wangu nitamwita "First Lady" bila shida yoyote na sidhani kama kuna mtu atanizuia...

Hii nayo ingekuwa wanawake wanatafakari sana lazima wange-question hii kitu na wanaojielewa sijui wangefanyaje. Kama mke ni first lady, manaake nje kuna second lady, third lady nakuendelea...... labda kama ni ndoa ya ki Islam Sawa!
 
Haswaaa yaani ni shida tupu huyu Nabii anauchafua ukristo sana naunga mkono sheria ya kudhibiti madhehebu ya dini labda itasaidia kupunguza utapeli.
Tuwasilishe muswada wa sheria ya kusajili, kusimamia na kuratibu madhehebu ya dini.
 
Kam
Sio mfuasi wa Nabii lakini nadhani yuko sahihi, First lady sio mke wa Rais, hili neno lilianzia Magharibi(Marekani) kwenye msiba wa mke wa Rais mstaafu wa Marekani katika kumpamba na sifa za marehemu sikumbuki aliyekuwa akisema ila alitamka "She was the first lady of the land" tangu hapo wake wa marais wakaanza kutambulika kama first lady, lakini nadhani ni sifa ambayo mwanamke wa mtu yeyote anaweza kutumia ingawa kwa sasa ndio hivyo tulishakaririshwa.
Kama ni bikira wakati namkuta lakini.
 
Kuna shida kwani?
Yap mi naona shida ipo 7b yesu hakua mpenda makuu wala hakua tajiri wala hakua na mbwembwe nying katika kuhubiri na kimtumikia yehova, iweje leo hii hawa wanaojita manabii au mitume waishi maisha ya kifahari kujikweza a bwebwe nying kupita kiasi. Mi napata shaka iKwa kweli wana lengo la kumtumikia mungu zaidi wanajishughulisha na kutafta hela na kuishi maisha ya kifahari
 
Back
Top Bottom