Mke/msichana muongeaji sana na mkimya na mpole yupi anafaa kwa ndoa?

Faida ya make/demu mwongeaji inategemea na wewe mwanaume ulivyo:
-Kama mwanaume ni mzungumzaji, utahitaji mwanamke ambaye siyo mzungumzaji, ili hata wakija wageni, uzungumze wewe.
-Kama mwanaume ni mpole, atahitaji mwanamke mzungumzaji, ili hata wakija wageni, akusaidie kuzungumza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom