Mke/msichana muongeaji sana na mkimya na mpole yupi anafaa kwa ndoa?

Mkimya uwaga hatabiriki(kosa)wakati muongeaji anatabirika(pata),mkimya halopoki ovyo(pata) wkt muongeaji anaweza lopoka(kosa),mkimya wanabeba vitu rohoni(kosa) wkt muongeaji hawana vinyongo(pata)..mkimya hazoei watu ovyo(vizuri) muongeaji anashoboka ovyo(vibaya),mkimya anaheshimika kwenye jamii(vizuri)muongeaji haeshimiki kwenye jamii(vibaya),mkimya anaonekana sio kicheche mbele ya wanaume(vizuri)muongeaji anaonekana kicheche(vibaya)..wanawake wote wana kero ila mkimya zake ni chache(vizuri)muongeaji ni nyingi(vibaya)..mkimya hajui kueleza hisia zake(vibaya) muongeaji anaweza(vizuri)..mkimya ana siri(vizuri)muongeaji hana(vibaya)...ukipata mwanamke anaejua wapi pakuchangamka na wapi pakukaa kimya,anaejua kipi cha kusema na kipi cha kukaa kimyaa basi ujue umepata anaefaa ila kama unataka in general bora mwanamke anaekaa kimya tu kuliko anayeongea... mwanamke kimya sana ni kinyume cha mwanamke anayeongea hovyo sasa upate anayeongea hovyo halafu kakuchoka ndo utaelewa vizuri miziki wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oa mke unayemmudu kwa kila kitu
Unapiga ka1 kwa shida shida af na bado anaridhika na kukuheshimu... huyo OAAAAA!! Ila na ww siku moja moja hata kwa mwez mara1 piga shoo ya kufa mtu.

Leo huna hata mia na bado anakwambia anakuamini..... huyo OAAAAA! Ila na ww hata ukipata mia mpelekee hata pipi

Unasapoti mikakati yako bila kupjali inakamilika leo au miaka mia....... huyo OAAAAA! ila na wewe kuwa na vimipango flan vya fasta fasta vinavyoonekana.

Kwa hayo apo ata awe anaongea kama kiredio cha betri au mpole kama sloth...... poa tu, we vuta kitu tulia nacho af usimwambie mtu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli mwanamke muongeaji sana hatupendezi wengi, maana huwa dalili ya utovu wa maadili. Ila uongeaji/ukimya ni tabia tu za binadamu ambazo ni lazima zitofautiane na si vibaya kuwa na tabia mojawapo. Mara nyingi hazidetermine hali ya tabia ya jumla ya mtu. Aweza kuwa mkimya lakini in the dark side ni shetani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka bosi wangu aliwahi kuniambia huwa hatongozi mwanamke muongeaji, huwa anawafuata wale wakimya na sio wachoyo. Maana bosi ni Mme wa MTU na hao wakimya ni wake za watu. Anasema hawa wenye midomo watatangaza ofisi nzima kuwa wametongozwa. Wakimya wanafanya uchafu wao kimya na kwa siri sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom