Duh...! Safi sana Bro. Steve. Je, imewahi kutengenezewa filamu? Hadithi tulivu sana hii.Ni simulizi ya kweli. Na hapo ndipo ilipoishia. Hii ni mojawapo ya kesi ambazo hazijapatiwa majibu yake mpaka leo hii. Muuaji hajulikani ni nani na yupo wapi na kwanini aliua.
☆Steve
Tupo pamoja kaka.Sawa sawa mkuu. Vitu vipo vingi sana vya kusisimua akili zetu. Tuwe tu pamoja.
☆Steve
Ndiyo maana vichwa vimegoma hapo mkuu. Ngoma nzito kuing'amua.Hii stori mbn inamkanganyiko aisee!!!!
Familia yake ilimpoteza akiwa na miaka kumi na saba tu!Kuna Ugumu Hapo Maana Familia Yake Haijamwelezea Vizuri Alikua Ni Mtu Wa Namna Gani
Haina movie mkuu. Pengine ni kwasababu ya mkanganyiko wake uumizao kichwa. Ahsante sana mkuuDuh...! Safi sana Bro. Steve. Je, imewahi kutengenezewa filamu? Hadithi tulivu sana hii.
Yani hicho tu ndicho watu wana uhakika navyo. Hivyo vingine ni makisio. Tena yanayochanganya haswa na kutoa majibu pacha.Yani kilicho wazi tu ni mkuwa mtu alikufa!
Karibu sana kiongozi Ziroseventytwo tupo pamoja kwa nondo zijazo pia.Asante SteveMollel kwa uzi mzuri.
Shukran
Shukran tuko pamoja uniite ukiwek vitu mezanAhsante sana mkuu.
☆Steve
Asante san