Mrike
Senior Member
- Dec 10, 2015
- 102
- 144
Duh...! Safi sana Bro. Steve. Je, imewahi kutengenezewa filamu? Hadithi tulivu sana hii.Ni simulizi ya kweli. Na hapo ndipo ilipoishia. Hii ni mojawapo ya kesi ambazo hazijapatiwa majibu yake mpaka leo hii. Muuaji hajulikani ni nani na yupo wapi na kwanini aliua.
☆Steve