SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,797
- 25,172
- Thread starter
- #21
Tena na hili baridi, tafuta na kahawa kabisa mkuu.Hii ntasoma jion nikitulia
Asante kaka steeve uwe unaniitaThanks, miss. Karibu sana.
☆Steve
Bila shaka, miss. Nimekuweka kwenye list.Asante kaka steeve uwe unaniita
Asante sana barikiwaBila shaka, miss. Nimekuweka kwenye list.
☆Steve
Mkuu inaendelea lini tena, na mm niweke kwenye hiyo tag list, nisikose toleo hata moja.Bila shaka, miss. Nimekuweka kwenye list.
☆Steve
Ni simulizi ya kweli. Na hapo ndipo ilipoishia. Hii ni mojawapo ya kesi ambazo hazijapatiwa majibu yake mpaka leo hii. Muuaji hajulikani ni nani na yupo wapi na kwanini aliua.Mkuu inaendelea lini tena, na mm niweke kwenye hiyo tag list, nisikose toleo hata moja.
Je hii ni true story au ni hadithi ya kutunga
Sawa sawa mkuu. Vitu vipo vingi sana vya kusisimua akili zetu. Tuwe tu pamoja.Unanikumbusha investigation moja ambayo mpaka leo haijwah kupata majibu why! Inaitwa BEAUTY QUEEN MURDERS
Kuna Ugumu Hapo Maana Familia Yake Haijamwelezea Vizuri Alikua Ni Mtu Wa Namna Gani