Ndalilo
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 3,266
- 7,315
1. Nitakuwa nimeelewa mnakoelekea ila nasubiri basi lianze safari ili nijue abiria tuko wangapiKwa utabiri huo kiongozi wa ghasia ana sifa tatu
1. Hamjui Nyerere kwa maana hana mtazamo au unasaba au mapenzi na Nyerere.
2. Atakua na alama ya mkuki.
3. Atatoka Magharibi
2. Hapa naona kama tunapotezwa fulani hivi ili tusiweze kuunganisha 1 na 3.
3. Hapa anazungumzia mtu ambaye pengine ni mtu ila sio binadamu au vice versa.
Kama na mimi nimechanganya changanya mambo, basi ndio lengo lenyewe.