DENG XIAOPING
JF-Expert Member
- Mar 6, 2022
- 2,396
- 2,597
“Maridhiano” ni moja ya neno la kishenzi na la kipumbavu kupata kuli sikia katika taifa hili toka tumepata uhuru wa bendera 9/12/1961.Tusizunguke sana sijui kuna mbinu yoyote ya kuleta katiba ama sijui CDM wajipange. Bila nchi kupinduliwa, ama wafuasi wa CDM/wananchi kuleta machafuko, tusitegemee mabadiliko yoyote ya maana, sana sana watu wengi hawatajitokeza kupiga kura.
Hiyo Kenya tunayoona wanaheshimiana ni kwakuwa kulitokea machafuko baada ya uchaguzi wa 2007. Ifahamike wakati wa Moi wakenya walikuwa waoga kuliko sisi. Ongeeni maelezo yoyote na mbinu zozote mzitakazo lakini itakuwa kufurasha genge tu, machafuko ndio yataifanya demokrasia ya nchi hii iwe bora.