OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,035
- 114,474
Eleza maana ya Ukawa,Embu eleza chimbuko la UKAWA na lengo lake.eleza pia kama lengo limetimia halafu hitimisha na huo upuuzi wako
Baada ya Suala la katiba mpya kuwekwa kapuni na uchaguzi mkuu kwisha.
Je kuna uhalali wowote wa kisheria au kimantiki kwa umoja huu kuendelea kuwepo?
Ni hivi , unavyomaliza mwaka ndivyo unavyouanza mwaka mpya .Dua la kuku hilo!
Hii thread ni ya mwaka jana hata hivyo.
Nyumbu hawana umakini hata siku moja
Wew bwana unatatizo kubwa sanaUmewahi pia kuwaza kama kuna logic ya CCM kuendelea kuwa chama cha siasa ilihali uchaguzi mkuu umeshamalizika?
jibu unalo.....!!!Kwani UKAWA ni chama cha siasa?
we ndo wasema!!!!Hakuna haja coz si chama cha siasa
ufute basi kama unaona hauna uhalali wa kuwepo, mwambie rais wako atumbue so ni jipu!?Nimejipinga kivipi?au hujaelewa?
Naulizia uhalali wa UKAWA kuendelea kuwepo.
Mind you UKAWA sio chama wala muungano rasmi.
vipo na vitaendelea kuwepo kila siku hadi mtakavyong'oa nanga bwaa nyie?Una maana kutakuwa na vikao chini ya mwamvuli wa UKAWA?
UWEZO MDOGO WA KUFIKIRI NDO UNAKUSUMBUA. SASA NAAMINI KICHWA KIBOVU HUSUMBUA MIGUU NA MIKONO. Na kama wewe ni baba au mama wa watoto, sijui wanao watajifunza ni ni kwako.Baada ya Suala la katiba mpya kuwekwa kapuni na uchaguzi mkuu kwisha.
Je kuna uhalali wowote wa kisheria au kimantiki kwa umoja huu kuendelea kuwepo?
Usisahau pia kwamba lengo hilo lilipingwa na kina lowasa, kingunge nk ambao leo ndio wameshika hatamu ukawa.Lengo la kuanzishwa UKAWA Ni kupigania katiba,lengo halijafikiwa bado
Unaiongelea UKAWA original au UKAWA maslahi mkuu?ukawa ni umoja wa katiba ya wananchi ,umoja huu ulianzia kule dodoma wakati mchakato wa kupata katiba mpya,mchakato huu ulitekwa na vyama ama kwa maslahi yao wanaoyajua wenyewe ,au kwa utashi wao ,na kambi ya upinzani kuona kuna haja ya kuungana baada ya maoni ya wananchi kutupwa kapuni na chama cha mapinduzi kuweka makada wake na kutengeza rasimu walioona wao inafaa ,rasimu ya warioba ikatupwa na wanaccm wengi kuipigia kampeni ile ya ccm badala ya wananchi walio wengi,hii ilipelekea mh.warioba kupata kipigo wakati akitoa elimu ya uraia juu ya rasimu ya katiba iliopendekezwa ,uwepo wake ni mpana kwanza malengo yake hayajakamilika na hili utaona pindi mchakato wa katiba ukianza utaona makundi hayo wakipishana kauli ,kimsingi ukawa wanatetea maoni yaliotolewa na wananchi juu ya mustakabali wa katiba wanayotaka na kwa upande mwingine unatetea upande wa utawala vipengele vile ambavyo ni mwiba viliondolewa ,na hoja za kusema mchakato wa katiba ni wa vyama ,si wananchi viliibuka ,ukumbuke pia hapa kuna hitajika uwingi wa wajumbe ili kupitisha baadhi ya vipengele.kwa hiyo utaona kuwa ccm ilikuwa ina jivunia hilo.ukawa itakuwepo hadi malengo yake yakapo timizwa.na ukawa si chama,.
Nyie ndio wale wafuasi wa chadema mliokuja na mafuriko!!huelewi wala hujielewiUWEZO MDOGO WA KUFIKIRI NDO UNAKUSUMBUA. SASA NAAMINI KICHWA KIBOVU HUSUMBUA MIGUU NA MIKONO. Na kama wewe ni baba au mama wa watoto, sijui wanao watajifunza ni ni kwako.
Baada ya Suala la katiba mpya kuwekwa kapuni na uchaguzi mkuu kwisha.
Je kuna uhalali wowote wa kisheria au kimantiki kwa umoja huu kuendelea kuwepo?
Mwasisi wa UKAWA Prof Lipumba hana mpango nao, sioni mantiki ya uwepo wake kwa sababu lilikuwa genge ambalo halipo kisheria, lilikuwepo kipigaji tu hasa kwa wana chadema zaidi.