jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,950
- 29,532
- Thread starter
- #81
Hoja yangu ni kwamba kama kweli katiba mpya ni hitaji la watanzania sio wanasiasa wenye uchu wa madaraka je unadhani Ukawa bado ni chombo credible au chombo sahihi kwa ajili ya kusimamia hitaji hilo?Ndio suala la katiba sio la ukawa nk ni suala la nchi. Wanainchi tunahitaji katiba mpya hivyo ni maamuzi yetu kuhusu nchi yetu sio kuhusu Ukawa.